RAY ALETA MAPINDUZI KWENYE MKOROGO

RAY ALETA MAPINDUZI KWENYE MKOROGO

Unamuiga msaga sumu, bado hujafikia level zake
 
Muigizaji mkongwe Ray ameleta mapinduz kwenye mkorogo baada jana MH DR.JOHN POMBE MAGUFURI kukubali SUDAN KUSINI KUJIUNGA EAC
b16cd51ee227973b143f1a844c75c063.jpg
mh nape nnauye amekubali kuboresha maisha ya wasanii akipeleka kilo kumi za mchele kituo cha kulelea watoto yatima huku akikataa katu wasira kumdhihaki mh makamba jana belle 9 amekana kumtukana diamond kwenye ngoma ya harmonize ft
30992a706224b1d47e2892522d0e5f22.jpg
diamond BADO yapata views wengi sana pasipokutarajiwa dr slaa afunga ndoa na mkewe nchini canada hali ya hewa kwa sasa ni ya baridi sana ukilinganisha na marekani jana wamefanya uchaguzi wa vyama katika majimbo mbalimbali Rais magufuri alitembelea kipindi cha kampeni watu tulipiga pesa ya Nyerere inaua wengi jamani......
e333338690f822acdf831f13b034b805.jpg
 
Muigizaji mkongwe Ray ameleta mapinduz kwenye mkorogo --maji

baada jana MH DR.JOHN POMBE MAGUFURI kukubali SUDAN KUSINI KUJIUNGA EAC --wanauana
mh nape nnauye amekubali kuboresha maisha ya wasanii akipeleka kilo kumi za mchele kituo cha kulelea watoto yatima huku akikataa katu wasira kumdhihaki mh makamba jana --- huwa sisomi mipasho

belle 9 amekana kumtukana diamond kwenye ngoma ya harmonize ft diamond BADO yapata views wengi sana pasipokutarajiwa -----mipasho
dr slaa afunga ndoa na mkewe nchini canada----Green card au utambulisho wa kutokuwa na hawala kama wapo upande wa wafaransa.

hali ya hewa kwa sasa ni ya baridi sana ukilinganisha na marekani jana wamefanya uchaguzi wa vyama katika majimbo mbalimbali----- Kipigo cha JW kinatunyima usingizi huku kitaani hasa Zenj.
Rais magufuri alitembelea kipindi cha kampeni watu tulipiga pesa ya Nyerere inaua wengi jamani......Nimetoka kapaaaaaaa
 
Back
Top Bottom