Ray atetea uamuzi wa kumvisha hereni mtoto wake ambaye ni wa kiume

Tanzania kuna watu wengi sana wanaokuwa impressed na vitu superficial kama mavazi na habari za hereni kuliko fikra na hoja za mtu.

Tunapenda kutoa majibu rahisi kwa maswali magumu.

Yule mwanamme katoboa sikio na ana tattoo, basi muhuni yule.

Yule kavaa suti kali, basi ana pesa yule.

Yule anajua Kiingereza sana, basi kasoma sana yule.

Na mara nyingine hizi rules of thumbs zinaweza kuwa sawa, lakini kuzitumia kama north star ni makosa sana.
 
Naomba akamatwe na afunguliwe mashtaka Mtoto hana sehemu ya kujitetea kwa hiyo hana uelewa wowote kumtoboa bila ridha yake nikumuingiza kwenya maisha ambayo kwa mtoto siyo haki yake.. Wizara ifanye juu chini kukemea huu Ujinga..
 
Nichangie kdg mawazo
Binafsi naona 'kama' atamkosesha baadhi ya 'fursa' muhimu kwa baadae , au pia akawa kamjengea 'fursa' ya baadae 'kama' lengo la mzazi mtoto kufuata nyayo zake

Wangu mtazamo
 
Hongera Sana Mnywa Maji kwa Kumtoboa mwanao masikio na kumvika hereni,Safi sana kwa kufata Ustaa kama wa kwako.
 
bora mtoto aishie kwenye hereni tu...asije fikia hatua ya kuliwa mtandao pendwa
 
kumbe hadi huku unaingiaga eeh
Naingia, sijaingiaga.

JF na browse kwa latest threads. Siangalii habari kwa forum.

Kwa hiyo hata huko "huku" unapopaongelea sijui unaongelea wapi.
 
Umaaarufu gani anaongeleaa.. bongo movue chalii na yeyee chaliii..
 
Naingia, sijaingiaga.

JF na browse kwa latest threads. Siangalii habari kwa forum.

Kwa hiyo hata huko "huku" unapopaongelea sijui unaongelea wapi.
hili celebrity forum,
asante
 
hili celebrity forum,
asante
Nilifikiri hivyo pia.

Lakini hilo halibadilishi mantiki kwamba kumpangia baba asimvishe hereni mwanawe, wakati hata humjui, hujui sababu zake, hujui utamaduni anaotaka kumlea mwanawe, na yeye hajakupangia wewe mwanao umlee vipi, ni ujinga tu.
 
Anamuandaa mtoto kuwa muigizaji wakati BoNGO Movie ishakufa na Kanumba
 
Jamaa ni tahiraa sanaa... Anadhani kwamba Yeye kuwa maarufu na mwanae atakuja kuwa maarufu..!??? Kwamba mwane nae ajee kuigizaa..!??
 
Huyo mtoto Mungu amsaidie sana maana naona dalili za kuharibika mapema sana
 

Sasa kwa nini utoboe sikio uvae hereni uchore tattoo
 
Ana muandaaa kuwa kama yeye, ila mbona aliyezaaa na Johar kamkimbia VP!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…