naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Atakumbukaje wakati yeye mwenyewe kasahau rangi yake ya kuzaliwa ni ipi hajijui ni mweusi au mweupe asamehewe bure maana kasema asipangiwe malezi ya mwanaeAmesahau mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakumbukaje wakati yeye mwenyewe kasahau rangi yake ya kuzaliwa ni ipi hajijui ni mweusi au mweupe asamehewe bure maana kasema asipangiwe malezi ya mwanaeAmesahau mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
Tanzania kuna watu wengi sana wanaokuwa impressed na vitu superficial kama mavazi na habari za hereni kuliko fikra na hoja za mtu.Kuna kundi la watu lipo Tanzania linajaribu sana kuingiza masuala ya dini kwenye maisha ya kila siku ya watanzania. Tusipokubali diversity na freedom of expression, tutakuja kuishia mahali pabaya sana kama jamii.
Hivi hamjiulizi kwanini madiwani wanavaa majoho na mawigi ya kijivu? What the hell is that? Hiyo asili yake ni Tanzania kweli?
Badala ya kuondokana na utumwa wa kimawazo ili kukuza uvumilivu, tunajielekeza kwenye utumwa huohuo na matokeo yake tutakuja kujuta huko mbele.
People are getting so intolerant and non-compromising. Its so stupid!
Acha kusingizia bange mkuuBange bange zilisababisha ajichubue.
bange bange bange,zikasababisha hereni avae
Mtoto wake mnataka kumpangia anachomvisha nyie?
Naingia, sijaingiaga.kumbe hadi huku unaingiaga eeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kusingizia bange mkuu
hili celebrity forum,Naingia, sijaingiaga.
JF na browse kwa latest threads. Siangalii habari kwa forum.
Kwa hiyo hata huko "huku" unapopaongelea sijui unaongelea wapi.
Nilifikiri hivyo pia.hili celebrity forum,
asante
Bange bange zilisababisha ajichubue.
bange bange bange,zikasababisha hereni avae
Tanzania kuna watu wengi sana wanaokuwa impressed na vitu superficial kama mavazi na habari za hereni kuliko fikra na hoja za mtu.
Tunapenda kutoa majibu rahisi kwa maswali magumu.
Yule mwanamme katoboa sikio na ana tattoo, basi muhuni yule.
Yule kavaa suti kali, basi ana pesa yule.
Yule anajua Kiingereza sana, basi kasoma sana yule.
Na mara nyingine hizi rules of thumbs zinaweza kuwa sawa, lakini kuzitumia kama north star ni makosa sana.