Ray C: Acheni hizo, hafi mtu hapa!

Hivi bado hajapata mchumba mzee wa 65 yrs wa kumfariji?

Inamaana Kapuya hakuiona hii fursa?
 
Dahh kweli unga ni kitu kibaya sana
 
Wadada akili zenu mnazijua wenyewe.
Na hivi mnavyopenda pesa. Kiasi kwamba wanyama wangekuwa nazo mngehamia porini saivi. Utaskia. Jomoni chui unanimaliza na hayo madoa yakoo!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]chizi wee
 
Ray c bana nkikumbuka kipindi tunaishi gerezani yaaan mateja walikuwa wanajisevia papuchi yake watakavo live kabisa ila Sembe bana acha ikotiwa maji iitwe ugali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…