Ray C: Acheni hizo, hafi mtu hapa!

Ray C: Acheni hizo, hafi mtu hapa!

Ray c bana nkikumbuka kipindi tunaishi gerezani yaaan mateja walikuwa wanajisevia papuchi yake watakavo live kabisa ila Sembe bana acha ikotiwa maji iitwe ugali
Kile kilikuwa ni kipindi kibaya sana kwenye maisha yake. Nafurahi Mungu alimvusha aisee!
 
Ray c bana nkikumbuka kipindi tunaishi gerezani yaaan mateja walikuwa wanajisevia papuchi yake watakavo live kabisa ila Sembe bana acha ikotiwa maji iitwe ugali
Maneno mazito Sana haya ndugu yangu hukuwa na haya ya kuyaandika hapa, a napita anasoma unadhani anajisikiaje msitiri mwenzio nawe usitirike na kizazi chako
 
Ray c bana nkikumbuka kipindi tunaishi gerezani yaaan mateja walikuwa wanajisevia papuchi yake watakavo live kabisa ila Sembe bana acha ikotiwa maji iitwe ugali
Kumbe ulikua nae gereza moja[emoji849]
 
Wadada akili zenu mnazijua wenyewe.
Na hivi mnavyopenda pesa. Kiasi kwamba wanyama wangekuwa nazo mngehamia porini saivi. Utaskia. Jomoni chui unanimaliza na hayo madoa yakoo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
EATV

Yaani hadi huruma kiukweli

Tatizo cv yake siyo nzuri mjini. Ndiyo maana hapati mtu wa kumweka ndani.
Aisee too sad..kwa ajili ya unga ee

Amrudie tu Mungu hufanya njia pasipo na njia
 
Yes. Sababu ya unga na kashfa za kuliwa vijiweni kila muda.
Pia zile picha na videos za x alizokuwa anafanya na zipo sana.

[emoji134][emoji134]Ray c nae video za x?
 
Back
Top Bottom