Ray C afungua mlango kwa Mwanaume yeyote anayetaka kumuoa

Ray C afungua mlango kwa Mwanaume yeyote anayetaka kumuoa

Kwanza lazima ajue kuwa yeye wala sio Ray c tena yeye ni Rehema tu wala hana la zaidi.

Pili hayo masharti aliyopanga ni kwa vigezo vipi kwa mfano? Akumbuke hata dozi ya metho hajamaliza....
Kama vile haitoshi kwa mkorogo huo hivi kuna mtu atashawishika kweli???

Wanaume kazi kwenu

wapo walopinda zaid yake.
 
Dozi ya METHADONE imemsaidia sana kufika hapo alipo...
 
Huyu hajasema tu, ukiwa mume wake hujui kupiga kiboga kisawa anavunja ndoa yenu... ukimkuna vizuri kiboga, hayo masharti yote hayana uzito...!!!!

Used...scraper huyu...!!! Not marketable kwa sasa..!!!
 
Haaaahaaaa

Mke gan limejipiga mi tatoo hvyo ka shetani. Unajua nyie wanawake hamjuagi tu.....jinsi mnavyojikuta mnazidi kua micharuko ndio mnavyozidi jifukuzia bahati. Mtaonjwa weee alaf tupa kule.

Men like descent women wit morals and standards. Mwanamke kama huyo naanzaje kumpeleka kwa mama yangu ?? Mwishowe wanangu si watakua kama yeye.

#RUBBISH .
 
Vigezo vyote 10 ni vya kijinga na kipuuzi. Inaonesha jinsi gani alivyo mweupe kichwani.

Hayupo tayari na hajajiandaa kuwa mke wa mtu.

Uteja bado unamsumbua.

Lazima atakuwa teja bado! Au aumbe wakwake mwenyewe!
 
Mwanaume mnzima uimbe nyimbo za kihindi? Hv mtu unajiskiaje kuweka uchafu kama huu mtandaoni??

Kuna mawili hapa; akili bado finyu,ana msongo wa mawazo,au anawazingua watu tu.

Mkuu akili bado haijarudi fresh
 
Hivi hajui kuwa kwa asili mwanamke alitokana na ubavu wa mwanaume
 
Namshauri anunue mdoli tu...maana hizo sifa zote zimeegemea kwa mdoli na sio kwa binadamu wa kawaida....
 
Back
Top Bottom