Ray C afungua mlango kwa Mwanaume yeyote anayetaka kumuoa


pole sana.....hali uliyonayo hua haiji hivi hivi tu
 

Mi namkubali sana Ray C

Hali aliyokuwa amefikia na alivyo sasa sio jambo dogo

Kuna vijana wengi wanatumbukia huko mara nyingi si kwa wao kupenda

Ray C was just a victim....Namkubali sana kwa sababu anajikubali...she is not fake kama walivyo mademu wengi wa humu JF
 
Yote hayo ni ya nini mwanangu RAYC.
..........
 
Hizo sifa zote anazo lordeyez mana hata simu hana watashare hiyo y rayc
 
Maana yake kuwa hataki kuwa na mtu. Hamna kitu siku hizi, Ray C zamani, naogopa kusema zaidi.
 
Jibu liko wazi,hataki kuolewa kwa hakuna atakae ingia mkenge kwa hivyo vigezo.
 
Kiukweli Ningekuoa,ila Sijui Nyimbo Zako Kichwani Zote,kwa Upande Wa Simu Hatuwezi Kutumia Simu Moja Maana Sio Muda Wote Tutembee Pamoja, Heri Nio Mtoto Aliyemaliza La Saba Kuliko Kunipa Masharti Hayo
 
jamen Hii thread iko outdated coz muhucka mwenywe kaishasema alikua anawakumbusha Mashabiki wake watambue uwepo wake..xo napenda kufunga rasmi malumbano ya hoja ktk thread Hii!!aksantheen..?!
 
hahaha sasa naanza kuelewa wazungu wanaposema "new world order" mfumodume unateketea alichosema Ray c anawakilisha kundi flani la wanawake wa dot.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…