Ray C aiomba Serikali ipitishe sheria kama Oman, kusiwe na mahusiano kati ya Mwanaume na mwanamke bila ndoa

Haoni kwamba hangekosa raha ya maisha mpaka sasa akipiga hesabu ya ndoga ambazo ashakutana nazo anaweza changanyikiwa
 
View attachment 666504
Mi nadhani mimba za utotoni zitapungua naungana na wewe dada ray c
Sheria inasema binti wa miaka 16 anaweza kuolewa (kuna kesi ya kuongeza miaka nadhanj ishafika tamati) kwa ruhusa ya wazazi.

Sheria inasema mtu mzima anaanzia miaka 18.

Huyu binti wa miaka 16 akiolewa akajifungua akiwa na miaka 17 hiyo ni mimba ya utotoni au la?
 
Au KWA sababu alishamaliza hamu yake,?,,hana mvute tena hana hamu tena ya mwanaume
 
Sawa ray c tutaweka sanduku la maon kwa wananchi ili walifikirie ombi lako
 
Awashauri wadada wasifungue miguu kama yeye, wanamegwa kwa hiari yao
 
Tatizo asilimia kubwa ya wanawake hawana akili wakijiona wazuri tu basi ni kugawa tunda kwa kila mtu mwisho wa siku hawaolewi.
 
View attachment 666504
Mi nadhani mimba za utotoni zitapungua naungana na wewe dada ray c
.
Unachosema kinasikika kama kiko sawa ila ni katika mlio wa mbali.
Binadamu unaowaona sii wote ni watu(utu). Kuna tofauri kubwa sana miongoni mwao.
Na kama vile kulivyo wa wanyama wa kufugwa na wale huru wa porini halikadhalika na kwa watu. Unaweza ukamfuga huwa(dove) lakini sii kunguru. Kunguru unaweza kumzingira kwa kumdhibiti ila nyenzo uliyotumia kumdhibiti ikitoa tu nafasi lazima kunguru aitumie kutorokea porini.
Vivyo basi kuna asili ya wanawake ambao ni kunguru na hawafugiki. Aina hii ya wabawake wanaweza kuzingirwa ila sii kufugika.
 
Naona mkuu haingiliki,sasa dawa ni kumshairi kupitisha sheria hiyo ili awe na plan B.

Labda kwa wasanii tu,ila huku kitaa hilo haliathiri mfumo wetu wa maisha.

ZAMA ZAKE ALIFURAHIA KUWAZA KINYUME CHAKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…