Kachezewa sana mpaka amekongoroka ndo anakumbuka hayo.
Ushauri wangu kwa mleta mada hamia oman kwakuwa huwezi kuhamishia sheria za kiislam kwenye nchi isiyo ya kiislam.
Mungu amempa kila mtu akili ya kujua mema na mabaya, amekataza kutenda mabaya lkn ametoa hiari ya mtu husika kuchagua baya au zuri. Ili siku ya mwisho kila mtu ahukumiwe kwa matendo yake.
Leo unalilia sheria za oman baada ya kuchezea ujana wako, kumbukumbu yako inaoneesha umeshahangaika nakila aina ya mwanaume, nikushauri tu ni vyema ukatubu badala ya kulilia sheria ibadirishwe ili uolewe