Ray C aiomba Serikali ipitishe sheria kama Oman, kusiwe na mahusiano kati ya Mwanaume na mwanamke bila ndoa

Too late sister. Inawezekana wkt wa ujana wake,walitokea wenye nia ya kuoa lakin akawatupulia mbali sababu ya kuwa super-star. Sasa leo hiyo nyotabimeshadondoka na anatamani zile bahat zirudi tena, lakin miliango imeshafungwa.
 
Heby acha kutupa mashart magum na wew ray c yaan sheria ya oman iletwe tz ili iweje wenzetu wanaolewa au wanaoana wakiwa pure sasa mimi leo hii bikra naitoa wapi.nisije unga mkono hoja ya kuwa ndio iletwe afu na wenzetu wa upande wa pili walete sheria zao afu ziwe ngumu kuliko hiyi unayosema mwenzio nitakuwa mgeni wa na i ushaur wangu shosti subiri majaliwa ya mwenyez mungu tu
 
Ye ashakuwa na mahusiano zaidi ya buku....
Mpk kawa sugu sahv anakuja na sheria yke ya kipuz .....

Ova
 
Angefupisha Tu angesema anatafuta mwanaume wa kumuoa maana age ileeeee!
 
Huyu katandikwa vya kutosha sasa anataka kung'ang'aniza ndoa. Shame on her.

Ni bora akahamia Oman badala ya kutuzingua hapa.
 
Nipe sababu moja baada ya ingine by listing kwamba ni impractical!

Haya anza :

1:...........

2:...........

Etc

Etc

Tuanze kuona sababu uji kabisa!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

ushapiga vibuti wanawake wangapi?

tuanze na wewe na be honest
 
Tatizo madawa ya kurevya yanamchanganya
Yani hana tofauti na aliyesema kaimba kollabo na 2pac
 
Uzoefu unaongea hapo, si mbaya anavisaidia vizazi vijavyo. Yeye na yule Mr. Kuku kapanda baiskeli...wana mengi ya kusimulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…