MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anataka kuharibu KekiHahaha Huu uzi na Comments zake ni Burudani tosha yani Ray C ametumika wee jua limezama anataka Kuwaharibia wenzie
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ila ni kama point la kufa mtu hivi!
Kumbe nzi akizeeka sana anakua nyuki!!
Big up Ray C!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 666504
Mi nadhani mimba za utotoni zitapungua naungana na wewe dada ray c