Ray C aiomba Serikali ipitishe sheria kama Oman, kusiwe na mahusiano kati ya Mwanaume na mwanamke bila ndoa

Ray C aiomba Serikali ipitishe sheria kama Oman, kusiwe na mahusiano kati ya Mwanaume na mwanamke bila ndoa

Uwezo huo unao wewe mwenyewe.... Chupi anavua mwenyewe, lawama kwa Serikali. Akija mwambie hakuna mahusiano mpaka ndoa.
 
Amekumbuka Shuka ishafika asubuhi? Anyways, ujumbe mzuri sana.
 
Kama yeye jua limesha tua atulie wengine nao wa enjoy na vikojoleo vyao
 
View attachment 666504
Mi nadhani mimba za utotoni zitapungua naungana na wewe dada ray c


Nadhani Ray C ana machungu na kuchezewa na mabwana, haiwezekani Tanzania tuishi maisha kama ya Uarabuni where wanaume wanaruhusiwa kufilana wao kwa wao ila wanakatazwa wasiwe na uhusiano na wanawake, what's the point? Uhuni ni hulka tu ya mtu na mtu, suala la kushika mimba linaweza kabisa kuzuilika iwapo wahusika watatumia kinga. Hatutaki usenge Tanzania kama wa Uarabuni, tuliletewa dini kwa kulazimishwa, inatosha.
 
baada ya watu kumaliza UTAMU WOTE,,,,unataka na wenzio watumie.chumvi kwenye CHAI, ,,
 
Mmmmmmmhh huyu naye mambo ya 1947 kila nchi ina taratibu zake uarabuni n uarabuni ndiyo sheria zao naona [emoji445] umeshamshinda kabisa abak kuwa mshauri [emoji23]
 
Back
Top Bottom