Ray C amfutia mashtaka Chid benz

Ray C amfutia mashtaka Chid benz

chid benz madawa yamemuaribu sana, kauza nyumba kwa mpangaji mwingine nhc ilala flats kaenda kupanga mbezi beach hela iliyobaki sijui ndo kanunua hayo makitu aliyokamatwa nayo maskini,

Hakai mbezi beach, anakaa tegeta kule karibu alipokuwa anakaa lulu michael, Nyumba anayokaa ni nzur sana aiseeh halafu pamejificha sana sio uswazi kule , sema si unajua warumi kwa umbea mpaka nilienda kupaona nilivyopewa umbea
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi nampenda sana Ray C, yale mashauzi yake na swagga zake za zamani za kidada duu hana.

She's grown up now. Hongera zake kwa moyo huo.

Kweli kabisa, ila kawa mmama si aolewe tu au aoe dogo dogo maana umri unaenda, Yani Ndoa hana hadi Mtoto? Si anakaribia 40 yule??
 
Back
Top Bottom