Ray C ampokea Yesu na kubatizwa

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065

Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za Bongo wa Fleva leo hii amewaka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya. Amethibitisha hayo katika post zake za instagram. Wambea hatuna maneno mengi zaidi ya kusema angalia picha hizo na wote tuseme AMEN umechagua njia njema.

Nyimbo za injili zinalipa sana siku hizi, uzuri wa ubunifu wa ujasiliamali ndio huu .
 
Yeah ht mimi nimeona instagram good for her...abarikiwe
 
amechagua njia sahihi. mungu ambariki asirudi nyuma
 
Amechagua fungu jema,wajanja wote wanakimbilia kwa Yesu.
 
Umesha mpokea Yesu wewe? Au na wewe huna lolote?

Yesu ANAENDELEA KUBATIZA WATU, NYIE MNAENDELEA KUPIGA MAKELELE.

Yesu halazimishi watu, wanakuja wenyeweeeeeee

Huyo yesu kaja na usafiri gani? Na ktk hayo mapokezi ile pombe ya bwana imo??

Halafu unasema ANAENDELEA KUBATIZA WATU!!
KWANI LINI ALIANZA HIO KAZI!?
NA JE ANAPATIKANA WAPI NA MIMI NIMLETEE DILI!!?
 
Huyo yesu kaja na usafiri gani? Na ktk hayo mapokezi ile pombe ya bwana imo??

Halafu unasema ANAENDELEA KUBATIZA WATU!!
KWANI LINI ALIANZA HIO KAZI!?
NA JE ANAPATIKANA WAPI NA MIMI NIMLETEE DILI!!?

Tayari Mapovu YANAMTOKA HUYU.

Kwani Yesu yupo wapi? Maana unataka fahamu kafika lini, au sio?

YESU HALAZIMISHI WATU kama yule wa kule DUNIA YA KATI AMBAYE HANA JIPYA ZAIDI YA BALAA TUPU.
 
Kampokea yesu!!?
Kwani kaja lini dar!?

Kuna watu wana akili za kujua kuchamba m....a.vi tu akili za kufikria hawana..umevurugwa wewe jipange upya...umejiunga juzi tu
 
abarikiwe ila ulokole wa wasanii wetu ni majanga.
 
I dont believe in such sort of people named "wasanii" coz they'r real wasanii as the their logo depicts them. They are after nothing rather than world wealth. Their lips are smiling while hearts are black.
 
You are weird
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…