Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Mtaalam nakuomba ufafanue vizuriKumbe tatizo lilianzia hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaalam nakuomba ufafanue vizuriKumbe tatizo lilianzia hapa
Hajampokea yesu ila amefata maslahi ya kimziki kwakia injiri INA ripa du[emoji87] kaazi kweli kweli watu wanamtania mungu sanaYeah ht mimi nimeona instagram good for her...abarikiwe
Umesha mpokea Yesu wewe? Au na wewe huna lolote?
Yesu ANAENDELEA KUBATIZA WATU, NYIE MNAENDELEA KUPIGA MAKELELE.
Yesu halazimishi watu, wanakuja wenyeweeeeeee
😀😀😀Ray C kapata danga huko England wiki hii Instagram watu hawalali
Kuna wasanii WA ubongo WA freva wengi wanajifanya wanaupa kisogo mziki huo na kuugeukia mziki WA injiri na kujifanya wameokoka pumbaav kabisa washenzi hawa wanaingia huko kwa ajiri ya maslahi baada ya kuona wamebuma kwenye mziki WA bongo freva lakini hawaingii kwenye injiri kama walokole Bali ni tamaa na kumtania mungu Bali nasfi zao zimejaa maovu na ushenzi mwingi ndani yake maslahi wameyaweka mbele kuliko mungu aliyewaumba hivyo nakataa kusikia ray c kamgeukia mungu anaimba injiri huu ni unafki WA asubuhi mapemaaaaaa. SHAME ON YOU REHEMA