Ray C ampokea Yesu na kubatizwa


We ndio matembele kweli kweli!
Aliyekwambia kuwa asiye mpokea yesu anaumwa ni nani?!
Pia unasema atakuwa huru! Kwani nani umeskia bado ni mtumwa!
Au ni zile ngonjera mnazoimba ndio zinakufanya ujione uko huru kuliko wengine!
Hebu weka sawa maneno yako! Manake mi nashindwa kuelewa hii misamiati yako.
 
Nyie wafuasi wa mungu mzungu!
Ufahamu wenu woote na mtoto wa darasa la 4 hakuna tofauti kabisaa.

Mnaiga wazungu hata kwenda choo bila maji! Matokeo yake mnachafua mazingira!
Na kusababisha global warming! !

na nyie wa mungu muarabu mbakaji mnafanyaje?
 

Hata Mungu hamumjui,kazi ya kumswalia mtume tu kila uchwao..muacheni ajiswalie mwenyewe huko alipo kama kweli alitumwa na Mungu na si majini mnayoyaita ndugu zenu..eti tunakimbiliana sisi kwa sisi,sasa kule msikitini mnaendaga kufanya nin?au kucheza karate na kutengeneza mabomu?watoto wa kimasikini mna tabu sana,maana hao waarabu wenyewe waliowapa hyo dini waliwakameruni kwanza babu zenu
 

mbn povu linakutoka kwani wewe ndo shetani?unajishtukia sana kama mtoa ushuzi kwenye kadamnasi kulikoni?Shetani ni Shetani tu na umeshndwa kuvumilia mjanja wenu akitajwa
 

Umesema we ni MKE WA NANI VILE??
 
mbn povu linakutoka kwani wewe ndo shetani?

Unajua kunywa damu na kitimoto kunapunguza ufahamu kwa asilimia 80%!

Kwa hivyo wewe mi sikushangai sana kuabudu picha ya mzungu aliyevaa nepi!

Na ukienda humo hekaluni j/pili,
Kazi yenu ni kutikisa makalio na kucheza kwasakwasa!
Hizi ibada zingine Balaa hizi!!
 
Si vizuri kukashifiana kwani kila mmoja ana hiari ya kuamini anachona kinamfaa. Sasa sioni kwanini baadhi ya wadau mnaanza kuongelea imani si ktk kuelimishana. Tujaribu kuvumiliana na kuheshimiana na kama imani yako unaona inafaa basi jaribu kumconvice mwenzako kwa ustaarabu. Hapa Tanzania hizi dini tunazoziona zote zililetwa na wageni wazungu na waarabu sasa hakuna wakujipiga kifua kwamba yeye imani aliyo nayo ilianzia mwanza au Tukuyu.
 
Uamuzi mzuri tena uliyo sahihi. Barikiwa sn Dada yng:thumbup::thumbup:
 
huko nako si salama,wachungaji na mapadre wanauza huo unga uliompagawisha!...so wamepata mteja wa maana. sinema haijaisha ndio imeanza
 
Nyie wafuasi wa mungu mzungu!
Ufahamu wenu woote na mtoto wa darasa la 4 hakuna tofauti kabisaa.

Mnaiga wazungu hata kwenda choo bila maji! Matokeo yake mnachafua mazingira!
Na kusababisha global warming! !

Na nyie wafasi wa Mungu Mwarabu, mnapelekwa pelekwa tu na waarabu kama punda
 
Na nyie wafasi wa Mungu Mwarabu, mnapelekwa pelekwa tu na waarabu kama punda

Matusi ni asili yenu!

waislamu hawana picha ya mungu wao!
Kwa hivyo wewe kusema ni mwarabu, umezua, na umesema uongo kama kawaida yenu!
Wala mungu wa waislamu hajafa! Na kutundikwa msalabani!
 
Na nyie wafasi wa Mungu Mwarabu, mnapelekwa pelekwa tu na waarabu kama punda

Jamani mnakoelekea sio pazuri. Msikashifiane kuhusu imani. Tushindane kwa hoja za msingi 😕
 
Umri wake atakutana na changamoto nyingi,akaze buti shetani sio lelemama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…