Ray C ampokea Yesu na kubatizwa

Kumbe kanisa la siloam Yesu anabatiza watu pale? Kachoka kukaa mbinguni siku hizi au
Umesha mpokea Yesu wewe? Au na wewe huna lolote?

Yesu ANAENDELEA KUBATIZA WATU, NYIE MNAENDELEA KUPIGA MAKELELE.

Yesu halazimishi watu, wanakuja wenyeweeeeeee
 
Kuna wasanii WA ubongo WA freva wengi wanajifanya wanaupa kisogo mziki huo na kuugeukia mziki WA injiri na kujifanya wameokoka pumbaav kabisa washenzi hawa wanaingia huko kwa ajiri ya maslahi baada ya kuona wamebuma kwenye mziki WA bongo freva lakini hawaingii kwenye injiri kama walokole Bali ni tamaa na kumtania mungu Bali nasfi zao zimejaa maovu na ushenzi mwingi ndani yake maslahi wameyaweka mbele kuliko mungu aliyewaumba hivyo nakataa kusikia ray c kamgeukia mungu anaimba injiri huu ni unafki WA asubuhi mapemaaaaaa. SHAME ON YOU REHEMA
 

Sasa jamani mtu si ametubu na kuamua kumfuata mungu.
Tatizo liko wapi?
 
INNALILAH WA INNA ILEIH RAJIUN, mtoto kapotea huyu ila mwache afuate wadau wa ngada wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…