Nasikia aliokoka siku nyingii...Kasikia mwenzie anaolewa ndo akili imemkaa sawa.
Ila Zamaradi jembe, hadi kafanikiwa kuibinafsisha ile mali ya uma? Kweli usidharau wembamba wa reli....!
Kama sijakuelewa??, ebu nipe umbea binamu yangu mie, roho ipate suuzika, wwh kaibinafsisha nini tena??
Binamu unaniangusha...nasikia anataka kuolewa na Ruge...Sasa yule Ruge alivyo kit.ombi (mali ya umma,) mpaka anatangaza ndoa mchezo....
Nasikia aliokoka siku nyingii...Kasikia mwenzie anaolewa ndo akili imemkaa sawa.
Ila Zamaradi jembe, hadi kafanikiwa kuibinafsisha ile mali ya uma? Kweli usidharau wembamba wa reli....!
Mwenzangu nitafukuzwa kazi humu JF , mbona sijaipata hiyo binamu? Ebu nipe mautamu so bibie kaamua kuwa mpole? Dah zamarad ni noma, ndo maana ukienda clouds pale mikochen kwenye ofisi zao unakutana na picha kubwaaaa la zamarad, mmh watu na bahat zao bhana
Dah! Watu mna maneno eti mali ya umma.. teh teh teh teh teeeh... labda niulize ina maana Ruge alikua hajaoa?
Maskini anatia huruma na mgahawa wake, kashaona zamaradi kampiga bao, sio type yake so kaaamua kuwa mpole tu, maskni ila si nilisikia kaokoka?
Mwenzangu nitafukuzwa kazi humu JF , mbona sijaipata hiyo binamu? Ebu nipe mautamu so bibie kaamua kuwa mpole? Dah zamarad ni noma, ndo maana ukienda clouds pale mikochen kwenye ofisi zao unakutana na picha kubwaaaa la zamarad, mmh watu na bahat zao bhana
mkuu muombee mdada mwenzio Mungu azidi kumjalia kuachana na madawa ya kulevya si jambo rahisi, pia kufungua mgawaha ni jambo zuri kwa mwanamke kuliko kuuza nyuchi kama hao unaowaona sio type yake.
Go go go Ray c this is ur second chance

Mkuu ni nani na dada ni nani mbona unajichanganya kama uharo wa bata?
Mmh!! Naona methadone inaanza kufanya kazi, kutendo cha kuanzisha biashara ya mgahawa na kuwaomba msamaha baadhi ya watu mliozinguana ni dalili tosha kuwa akili zimeanza kurudi, ila na wewe umenichekesha eti mara Team simba sijui mara team Nyani ahahahah, shaur zako we waanze tu si unawajua wenzio? Mi nina hamu kuwajua hao team simba na team nyani ndo akina nani.
Binamu nae unaniaibisha bhana, si walikuwa wanagombania pipi ya ruge au umeshasahau?
Binamu huyu ni mwizi mwenye akili, nasikia Zama ndo anaolewa mazimaa, akiendeleza bifu atakula wapi?
Na huyo big boss atamsikia kwenye bombaa...lazima ajipendekeza ili zama asahau ili yeye awe mwizi wa kudumu...anaiba kama haibi vileeee.....Mjini mipango...Zama mulika mwiziiiiii.....
ahahaa, kama kawa binamu, usikonde ndo kazi inayoniweka mjini hiyo binamu
Binamu jamani mi nawe tenaaa nilikua busy si unajuaaa sijakuchunia haki ya lemutuz shahidi mabebezi wakaleeeee