Ray C amuomba msamaha Zamaradi Mketema

Ray C amuomba msamaha Zamaradi Mketema

Nasikia aliokoka siku nyingii...Kasikia mwenzie anaolewa ndo akili imemkaa sawa.
Ila Zamaradi jembe, hadi kafanikiwa kuibinafsisha ile mali ya uma? Kweli usidharau wembamba wa reli....!

Kama sijakuelewa??, ebu nipe umbea binamu yangu mie, roho ipate suuzika, wwh kaibinafsisha nini tena??
 
Binamu unaniangusha...nasikia anataka kuolewa na Ruge...Sasa yule Ruge alivyo kit.ombi (mali ya umma,) mpaka anatangaza ndoa mchezo....

Mwenzangu nitafukuzwa kazi humu JF , mbona sijaipata hiyo binamu? Ebu nipe mautamu so bibie kaamua kuwa mpole? Dah zamarad ni noma, ndo maana ukienda clouds pale mikochen kwenye ofisi zao unakutana na picha kubwaaaa la zamarad, mmh watu na bahat zao bhana
 
Nasikia aliokoka siku nyingii...Kasikia mwenzie anaolewa ndo akili imemkaa sawa.
Ila Zamaradi jembe, hadi kafanikiwa kuibinafsisha ile mali ya uma? Kweli usidharau wembamba wa reli....!

Dah! Watu mna maneno eti mali ya umma.. teh teh teh teh teeeh... labda niulize ina maana Ruge alikua hajaoa?
 
Mwenzangu nitafukuzwa kazi humu JF , mbona sijaipata hiyo binamu? Ebu nipe mautamu so bibie kaamua kuwa mpole? Dah zamarad ni noma, ndo maana ukienda clouds pale mikochen kwenye ofisi zao unakutana na picha kubwaaaa la zamarad, mmh watu na bahat zao bhana

Na unaambiwa usililie uzuri lilia bahati. Basi binamu fanya mpango utukamilishie huu ubuyu.....manake hii taarifa me nimeiokota hukoo mtaa wa pili....!
 
Dah! Watu mna maneno eti mali ya umma.. teh teh teh teh teeeh... labda niulize ina maana Ruge alikua hajaoa?

Hahahaaa...ndio mali ya umma, kila kona ameacha mbegu...we hukumbuki walivyomgombania siku ya birthday yake...

Ila ndo soon inabinafsishwaa....itakuwa kupiga simu mwisho saa kumi na mbili...kama ofisi ya serikali vilee....heheheeeee!
 
Maskini anatia huruma na mgahawa wake, kashaona zamaradi kampiga bao, sio type yake so kaaamua kuwa mpole tu, maskni ila si nilisikia kaokoka?

mkuu muombee mdada mwenzio Mungu azidi kumjalia kuachana na madawa ya kulevya si jambo rahisi, pia kufungua mgawaha ni jambo zuri kwa mwanamke kuliko kuuza nyuchi kama hao unaowaona sio type yake.

Go go go Ray c this is ur second chance
 
Mwenzangu nitafukuzwa kazi humu JF , mbona sijaipata hiyo binamu? Ebu nipe mautamu so bibie kaamua kuwa mpole? Dah zamarad ni noma, ndo maana ukienda clouds pale mikochen kwenye ofisi zao unakutana na picha kubwaaaa la zamarad, mmh watu na bahat zao bhana

pole binamu hyo mbona ndo habari ya mjini kwa sasa...!!!
 
mkuu muombee mdada mwenzio Mungu azidi kumjalia kuachana na madawa ya kulevya si jambo rahisi, pia kufungua mgawaha ni jambo zuri kwa mwanamke kuliko kuuza nyuchi kama hao unaowaona sio type yake.

Go go go Ray c this is ur second chance

Umenena mkuu.
Nami namuombea afanikiwe haijalishi ameanza na kidogo kiasi gani ama ameanguka mara ngapi.....Mwenyezi Mungu amnyoshee mkono wake.
Kila la kheri kwake.
 
mkuu muombee mdada mwenzio Mungu azidi kumjalia kuachana na madawa ya kulevya si jambo rahisi, pia kufungua mgawaha ni jambo zuri kwa mwanamke kuliko kuuza nyuchi kama hao unaowaona sio type yake.

Go go go Ray c this is ur second chance

Mkuu ni nani na dada ni nani mbona unajichanganya kama uharo wa bata?
 
Mmh!! Naona methadone inaanza kufanya kazi, kutendo cha kuanzisha biashara ya mgahawa na kuwaomba msamaha baadhi ya watu mliozinguana ni dalili tosha kuwa akili zimeanza kurudi, ila na wewe umenichekesha eti mara Team simba sijui mara team Nyani ahahahah, shaur zako we waanze tu si unawajua wenzio? Mi nina hamu kuwajua hao team simba na team nyani ndo akina nani.

Hahahaaaa saf sana rayc kwel hao ni ma team nyan
 
Binamu huyu ni mwizi mwenye akili, nasikia Zama ndo anaolewa mazimaa, akiendeleza bifu atakula wapi?
Na huyo big boss atamsikia kwenye bombaa...lazima ajipendekeza ili zama asahau ili yeye awe mwizi wa kudumu...anaiba kama haibi vileeee.....Mjini mipango...Zama mulika mwiziiiiii.....

Aiseeeee
Mwenye picha ya ruge tafadhali!

Akiolewa zama tutakoma.

Hivi ruge na ray c alivyo bonge hivi bado tu?
 
Back
Top Bottom