Ray C amwandika Ruge: Nibusu shavuni, vyovyote vile, nakupenda

Ray C amwandika Ruge: Nibusu shavuni, vyovyote vile, nakupenda

tunnmlknbbnnnnn?nm@[emoji35][emoji54][emoji22][emoji63][emoji59][emoji473][emoji473]😛 :O
 
Mbona maneno aliyooandika ni mazuri na mengi yakiwa na maana ya kumtakia mema mginjwa, umeamua kuchukua sentensi ya mwisho ambao anasema ni wimbo na kuupa maana ya ujumbe mzima.

Getwell soon Ruge.
Vijana wengi hapa JF wanapotosha sana kama Salary Slip na kwa bahati mbaya wenzao wanasoma vichwa vya habari tu na kucomment bila kusoma ujumbe mzima. It’s so sad! Nadhani Ray C Kapinga na amejaribu kumpa pole ya kiutu uzima
 
Vizuri kukumbuka binadamu wenye matatizo na shida
 
Maneno ya binadamu anayejua ubinadamu. Nawachukia binadamu wote wenye chuki kiasi cha kuombea wenzao wafe. Regardless aina yoyote ya mahusiano yaliyowahi kuwepo kati yao, lakini REHEMA ameonesha utu, upendo na kujali. Nawapenda binadamu wanaojali maisha ya wenzao. Na siku zote namchukia anauefurahia mateso kwa wenzake bila kujali cheo chake.
 
Back
Top Bottom