RAY C anahitaji maombi yetu

RAY C anahitaji maombi yetu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Masikini Ray C, Unga umemharibia 'FUTURE'
FRONTIJUMAA.jpg
 
mtu kaisha...halafu unasema anahitaji maombi badala ya kumpeleka hospital kwa matibabu
 
Akiwa anaponda raha zake ss hatupo, wasanii wengi bongo wanajisahau na kuvuka mipaka ya starehe sasa utasikia MAOMBI, sijui MICHANGO.... tumpeleke India, India... ashike adabu yake hamna maombi wala michango...
 
jamani hajaliwa tigo kweli kwa hali hiyo?
 
jamani hajaliwa tigo kweli kwa hali hiyo?

mmh Nazjaz kulikoni kumwazia hayo mabaya? Sidhani kama ni sawa kumsemea vibaya ray c maana huyu sasa ni mgonjwa na yeye na familia yake wanahitaji msaada wa hali mali kuokoa maisha yake
kwani weye wakati ule yule mnene alipokukula tigo ulkua teja au ni tamaa ya cheo tu??
mdomo huoo hujafa hujaumbika
Pole sana ray c
 
Nimemuhurimia sana kwa kweli.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
milango ya kanisa la ufufuo na uzima ipo wazi ni yeye tu!
 
God help her recover , tumemiis sana enzi zake, arudi kawaida na atupe nyimbo nyingine nzuri za kukumbuka
 
Akiwa anaponda raha zake ss hatupo, wasanii wengi bongo wanajisahau na kuvuka mipaka ya starehe sasa utasikia MAOMBI, sijui MICHANGO.... tumpeleke India, India... ashike adabu yake hamna maombi wala michango...

Though she was ma favorite back in the days i bold it ASHIKE ADABU YAKE!
 
kasema akipona anaokoka... na atakua shuhuda mkali kweli..
 
Back
Top Bottom