sifongo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,896
- 5,305
Habari Wanajamvi, nilikuwa napitia habari kwenye mitandao nikakutana na habari ya kuombewa msaada kwa dada yetu Ray C, Ndugu John Kitime ameandikka na kuweka namba ya tigo pesa kwa wenye nia ya kumsaidia yule dada apate dawa za matibabu ya kuachana na dawa za kulevya namba yenyewe ni 0655999 700.
SWALI LANGU: HIVI HIZI PESA WANAZOPATA NA KUTURINGIA HUKU MTAANI KIASI KWAMBA HATA MAISHA YAO YANABADILIKA GAFLA NA KUISHI UTADHANI NI MABILIONEA ZINAISHIAGA WAPI?
HABARI HII IPO KATIKA BLOGU YA MICHUZI.