Ray C aonyesha muonekano wake mpya

Inaonekana kuacha hiyo kitu ni kazi kuliko watu tunavyo chukulia.

Kilicho mcost huyu sista ni kupenda tu, alimpenda mtu asiye sahihi, mpaka kesho kitendo hicho kina muandama.
 
Alimpendaga nani huyo aliyempoteza?!
Uwa naskia ni kijana mmoja wa kaskazini (naskia eti lakini)
Na yeye aliya sema hayo kwenye mahojiano na hando mwaka juzi kama sikosei.

Namnukuu alicho sema:
“I broke up with my ex , nikasema kwanza nimtoe huyu mtu aliyeniletea balaa hili. Hata mama yangu mwenyewe aliona mabadiliko. I loved him so much with all my heart, but then I had to let him, ilibidi aende cause yeye ndiye aliyeniletea balaa lote.
"So nikasema anyway Mungu naomba unisaidie nampenda huyu kijana lakini hayuko sawa, not for me. We separated, 2010 tukaachana,”
Ray C akihojiwa na Gerald Hando wa Cloudz media mwaka 2013.

shareadvert.blogspot.com/.../ ray-c -
 
Inaonekana kuacha hiyo kitu ni kazi kuliko watu tunavyo chukulia.

Kilicho mcost huyu sista ni kupenda tu, alimpenda mtu asiye sahihi, mpaka kesho kitendo hicho kina muandama.
Huy dada mm namuwek kweny kund l wajinga , kama aliwez kusaidiwa na mkuu w nchi na akashindikana huo c uzembe
 
Huy dada mm namuwek kweny kund l wajinga , kama aliwez kusaidiwa na mkuu w nchi na akashindikana huo c uzembe
Aah yaan tya02 haya mambo ya madawa si rahisi ki hivo
Hata kina whitney houston walienda rehabs tena za maana lakini madawa ndo yaliawaua.
Japo naye kuna kauzembe kake hakawezi kosekana
 
Mbonaaa mpakaa Leo kijana anadunda tuu? Hatujawahii kuskia kafanya vituko kamaa alivyofanyaaa? Kwanzaa ameondoka sobber house kabla ya muda mwenye sobber house kahojiwa na millady anasemaa anajiskiaa na katka kipindi chote alichokuwa hapo alikuwa kero tupu kwa wenzake na alitakiwa akae mwakaa kutokana nakutopea kwenye madawa lakin yeye amekaa miez 4 anaona kashapona
 
Boby alimfundisha madawa whitney lakini yeye bado ana dunda tu, na mbaya zaid whitney hayo madawa yalimuua, hayo mambo yapo mkuu.

Nakubali kuwa uzembe wake upo pia, ila hakuna mda maalum wa kukaa rehab na pia kuacha si kazi rahisi kama tunavo dhani
 
Inaonekana kuacha hiyo kitu ni kazi kuliko watu tunavyo chukulia.

Kilicho mcost huyu sista ni kupenda tu, alimpenda mtu asiye sahihi, mpaka kesho kitendo hicho kina muandama.
Haya tufahamishe pia CHIDI BENZ, MANGWEA, GEEZ MABOVU, YOUNG DEE na hawa waliwapenda akina nani wasio sahihi ambao mpka kesho wanaandamwa?
 
Haya tufahamishe pia CHIDI BENZ, MANGWEA, GEEZ MABOVU, YOUNG DEE na hawa waliwapenda akina nani wasio sahihi ambao mpka kesho wanaandamwa?
Kila mtu ana sababu zake, ao sababu zao sija fuatilia mkuu.
Ila sababu ya ray c ndio hiyo.

Siwezi kujua kila mtu alianzaje, japo ni wazo zuri ntafuatilia wote hao.
 
Kwa muonekano tu wa hilo pozi kwenye picha inaonesha ngada bado ipo kichwani, arudi sober house fasta
 
Huyo Rayc ni mpumbav kama wapumbavu wengine, asimsingizie Lord Eyes, na je umalaya alifundishwa na nani?
Hahaha, sija halalisha kitendo alicho fanya, naongelea wapi alipo kosea. Alikosea kumpenda mtu aliye mfanya atumie madawa hiyo iko wazi.
Suala la umalaya na madawa havihusiani mkuu, kuna malaya wangapi hawanywi hata pombe tu!!?
Mengine nakuacha ujaji mwenyewe kwa sababu lawama na yeye hazi muepuki.
 
Kiuno bila mfupa huyooo,domo jeusiii ka kunguru wa zenji,hivi hayo mamekap sijui wanayapendeaga nino
 
Huyo Rayc ni mpumbav kama wapumbavu wengine, asimsingizie Lord Eyes, na je umalaya alifundishwa na nani?

Haya tufahamishe pia CHIDI BENZ, MANGWEA, GEEZ MABOVU, YOUNG DEE na hawa waliwapenda akina nani wasio sahihi ambao mpka kesho wanaandamwa?
Kwanza lazima tujue ili uanze kutumia dawa, mara nyingi lazima awepo mtu wa kuku influence au kitu cha kuku influence
Wakati hao wengine inawezekana ikawa ni marafiki na kampan ndo zilisababisha
Ray C ni mpenzi wake ndi alimsababisha, ukimskiliza utamuelwa tu.
Japo nayeye alikosea pia.
 
Huyu mwanamke huyuu....!! Laiti kama!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…