Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimpendaga nani huyo aliyempoteza?!Inaonekana kuacha hiyo kitu ni kazi kuliko watu tunavyo chukulia.
Kilicho mcost huyu sista ni kupenda tu, alimpenda mtu asiye sahihi, mpaka kesho kitendo hicho kina muandama.
Uwa naskia ni kijana mmoja wa kaskazini (naskia eti lakini)Alimpendaga nani huyo aliyempoteza?!
Huy dada mm namuwek kweny kund l wajinga , kama aliwez kusaidiwa na mkuu w nchi na akashindikana huo c uzembeInaonekana kuacha hiyo kitu ni kazi kuliko watu tunavyo chukulia.
Kilicho mcost huyu sista ni kupenda tu, alimpenda mtu asiye sahihi, mpaka kesho kitendo hicho kina muandama.
Aah yaan tya02 haya mambo ya madawa si rahisi ki hivoHuy dada mm namuwek kweny kund l wajinga , kama aliwez kusaidiwa na mkuu w nchi na akashindikana huo c uzembe
Mbonaaa mpakaa Leo kijana anadunda tuu? Hatujawahii kuskia kafanya vituko kamaa alivyofanyaaa? Kwanzaa ameondoka sobber house kabla ya muda mwenye sobber house kahojiwa na millady anasemaa anajiskiaa na katka kipindi chote alichokuwa hapo alikuwa kero tupu kwa wenzake na alitakiwa akae mwakaa kutokana nakutopea kwenye madawa lakin yeye amekaa miez 4 anaona kashaponaUwa naskia ni kijana mmoja wa kaskazini (naskia eti lakini)
Na yeye aliya sema hayo kwenye mahojiano na hando mwaka juzi kama sikosei.
Namnukuu alicho sema:
“I broke up with my ex , nikasema kwanza nimtoe huyu mtu aliyeniletea balaa hili. Hata mama yangu mwenyewe aliona mabadiliko. I loved him so much with all my heart, but then I had to let him, ilibidi aende cause yeye ndiye aliyeniletea balaa lote.
"So nikasema anyway Mungu naomba unisaidie nampenda huyu kijana lakini hayuko sawa, not for me. We separated, 2010 tukaachana,”
Ray C akihojiwa na Gerald Hando wa Cloudz media mwaka 2013.
shareadvert.blogspot.com/.../ ray-c -
Boby alimfundisha madawa whitney lakini yeye bado ana dunda tu, na mbaya zaid whitney hayo madawa yalimuua, hayo mambo yapo mkuu.Mbonaaa mpakaa Leo kijana anadunda tuu? Hatujawahii kuskia kafanya vituko kamaa alivyofanyaaa? Kwanzaa ameondoka sobber house kabla ya muda mwenye sobber house kahojiwa na millady anasemaa anajiskiaa na katka kipindi chote alichokuwa hapo alikuwa kero tupu kwa wenzake na alitakiwa akae mwakaa kutokana nakutopea kwenye madawa lakin yeye amekaa miaka 4 anaona kashapona
Haya tufahamishe pia CHIDI BENZ, MANGWEA, GEEZ MABOVU, YOUNG DEE na hawa waliwapenda akina nani wasio sahihi ambao mpka kesho wanaandamwa?Inaonekana kuacha hiyo kitu ni kazi kuliko watu tunavyo chukulia.
Kilicho mcost huyu sista ni kupenda tu, alimpenda mtu asiye sahihi, mpaka kesho kitendo hicho kina muandama.
Kila mtu ana sababu zake, ao sababu zao sija fuatilia mkuu.Haya tufahamishe pia CHIDI BENZ, MANGWEA, GEEZ MABOVU, YOUNG DEE na hawa waliwapenda akina nani wasio sahihi ambao mpka kesho wanaandamwa?
Hahaha, sija halalisha kitendo alicho fanya, naongelea wapi alipo kosea. Alikosea kumpenda mtu aliye mfanya atumie madawa hiyo iko wazi.Huyo Rayc ni mpumbav kama wapumbavu wengine, asimsingizie Lord Eyes, na je umalaya alifundishwa na nani?
Huyo Rayc ni mpumbav kama wapumbavu wengine, asimsingizie Lord Eyes, na je umalaya alifundishwa na nani?
Kwanza lazima tujue ili uanze kutumia dawa, mara nyingi lazima awepo mtu wa kuku influence au kitu cha kuku influenceHaya tufahamishe pia CHIDI BENZ, MANGWEA, GEEZ MABOVU, YOUNG DEE na hawa waliwapenda akina nani wasio sahihi ambao mpka kesho wanaandamwa?
Load EyesAlimpendaga nani huyo aliyempoteza?!