Ray C asema hataki tena mapenzi

Ray C asema hataki tena mapenzi

Ningekujibu vibaya lakini nimekustahi
Kusema ungelimjibu vibaya, tayari hapo kwa kauli hiyo umemjibu vibaya. Ni sawa na kusema " ningelikutukana matusi mabaya sana" hapo tayari unakuwa unemtusi na kumdhalilisha.
Pia nieshangazwa na "cot" uliyomjibia vibaya. Ama mkuu na wewe una tatizo hilo?
 
Mwanaume ni kama maji husipokunywa basi utaoga au utanyeshewa na mvua.......mwache atafute pesa akizipata atakuja kutafuta mgegedeo
 
Hahahahahahaha lol! Mungu anakuona ujue, ila ni vigumu sana kuyaepuka mapenzi si unaona hata humu watu wanavyolalamika kuhusu nguvu ya dushe. Ingekuwa rahisi kuyaepuka mapenzi wangeamua kujikalia kimya tu, lakini bado nao watafuta msaada ili wayafaidi mapenzi.
mkuu anaonesha hata nguvu hana ,akishindiliwa dushe unazani ataamka kweli
 
Aendelee Tu Na Madawa Yake, Kwenye Ulimwengu Wa Mapenz Hana Umuhimu Kwa Ss, Kuna Vidosho Wapya.
 
Ila uyu Dada lazima wamuweke threesome uko Nairobi ......

Mtungo unahusika,,,, ukiwa teja wa unga tena mwanamke papuchi imechezewa sana tena ata mtandao pendwa nawasi wasi...
Weka video ya bidada akipigwa mtandao pendwa#Jaza Ujazwe!
 
Hahahahahahaha lol! Mungu anakuona ujue, ila ni vigumu sana kuyaepuka mapenzi si unaona hata humu watu wanavyolalamika kuhusu nguvu ya dushe. Ingekuwa rahisi kuyaepuka mapenzi wangeamua kujikalia kimya tu, lakini bado nao watafuta msaada ili wayafaidi mapenzi.
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
 
Nyota wa muziki wa Bongo flava nchini Tanzania, Ray C ameweka wazi kuwa kwa sasa hatamani tena kuingia kwenye suala la mapenzi na mtu yoyote kutokana na kuona anapoteza muda na kutaka kuwekeza nguvu zake kwenye muziki.
Amezungumza hayo kwenye show ya FNL ya EATV wakati anatambulisha video yake mpya.

je ataweza kusimamia hayo maneno anayosema
 
Nyota wa muziki wa Bongo flava nchini Tanzania, Ray C ameweka wazi kuwa kwa sasa hatamani tena kuingia kwenye suala la mapenzi na mtu yoyote kutokana na kuona anapoteza muda na kutaka kuwekeza nguvu zake kwenye muziki.
Amezungumza hayo kwenye show ya FNL ya EATV wakati anatambulisha video yake mpya.

!
!
Hata akitaka aisee, kina na kipenyo chake hakiruhusu mahusiano tena. Eneo ni kubwa sana kwa watu wa kawaida. Labda bwana Mandingo
 
Haya yeye kachoka sana nilikua nampenda sana uyu dada lakini saizi kaishaaa
 
Back
Top Bottom