Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kusema ungelimjibu vibaya, tayari hapo kwa kauli hiyo umemjibu vibaya. Ni sawa na kusema " ningelikutukana matusi mabaya sana" hapo tayari unakuwa unemtusi na kumdhalilisha.Ningekujibu vibaya lakini nimekustahi
mkuu anaonesha hata nguvu hana ,akishindiliwa dushe unazani ataamka kweliHahahahahahaha lol! Mungu anakuona ujue, ila ni vigumu sana kuyaepuka mapenzi si unaona hata humu watu wanavyolalamika kuhusu nguvu ya dushe. Ingekuwa rahisi kuyaepuka mapenzi wangeamua kujikalia kimya tu, lakini bado nao watafuta msaada ili wayafaidi mapenzi.
Weka video ya bidada akipigwa mtandao pendwa#Jaza Ujazwe!Ila uyu Dada lazima wamuweke threesome uko Nairobi ......
Mtungo unahusika,,,, ukiwa teja wa unga tena mwanamke papuchi imechezewa sana tena ata mtandao pendwa nawasi wasi...
ππππππππππππHahahahahahaha lol! Mungu anakuona ujue, ila ni vigumu sana kuyaepuka mapenzi si unaona hata humu watu wanavyolalamika kuhusu nguvu ya dushe. Ingekuwa rahisi kuyaepuka mapenzi wangeamua kujikalia kimya tu, lakini bado nao watafuta msaada ili wayafaidi mapenzi.
Aseehlabda ile midawa ili muathiri hadi sehemu zinazochochea masuala ya mapenzi!!!
Teja Ana nn,..? Acha fitina mkuu she deserve a man ,labda kasema ivo kutokana na disappointments, don't be a judge of everything mkuu,Sidhani kama kuna mwanamme mwenye akili zake akaenda kwa teja.
Nyota wa muziki wa Bongo flava nchini Tanzania, Ray C ameweka wazi kuwa kwa sasa hatamani tena kuingia kwenye suala la mapenzi na mtu yoyote kutokana na kuona anapoteza muda na kutaka kuwekeza nguvu zake kwenye muziki.
Amezungumza hayo kwenye show ya FNL ya EATV wakati anatambulisha video yake mpya.