Ray C asema uzalendo uanzie kwa Diamond aache 'kuwachamba' wasanii wenziye

Ray C asema uzalendo uanzie kwa Diamond aache 'kuwachamba' wasanii wenziye

Sasa roho mbaya kivipi, wanataka awapikie chai?
 
Malipo ni hapa duniani,yaani huyu kijana katoka kumdhalilisha baba yake hapa majuzi wakisaidiana na mama,machozi ya mtu hua hayapotei bure
 
Back
Top Bottom