Yeye Ray C kwanza ataje waliokua wanamuuzia ili tuamini kweli anauchungu, kuropoka ropoka tu wakati waliokua wanamuuzia unga bado wanawauzia wengine bila ya kuchukuliwa hatua yoyote ni kujidanganya mwenyewe!
Shangaa anaongea kama nani au kufurahisha watu tu nae arudishe hela alizolipiwa matibabu na Kikwete maana ni jasho la wananchi,utakuta tu ana bifu na Jack na weupe wake wa kichina
"Namshukuru sana baba yangu kikwete,bila yeye kunisaidia sijui ingekuaje"? Badala ya kumshukuru Mungu,naamini ray c anawajua wanaouza madawa akisanue kuliko kumchomea mwenzake,kwani kipindi anabwia alikua ananunua wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.