Ray C ataka serekali ya china wamnyonge Jack

Ray C ataka serekali ya china wamnyonge Jack

big_in

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
4,507
Reaction score
1,102
Ray c anaomba serikali ya china wamnyonge jack yy wakati anakula unga kama nyoka la kibisa mbona akuomba serikali ya tanzania wamnyonge ***** zake!!
 
Hivi Ray C anaushawishi wowote kwa serikali ya china?
 
Yeye Ray C kwanza ataje waliokua wanamuuzia ili tuamini kweli anauchungu, kuropoka ropoka tu wakati waliokua wanamuuzia unga bado wanawauzia wengine bila ya kuchukuliwa hatua yoyote ni kujidanganya mwenyewe!
 
Shangaa anaongea kama nani au kufurahisha watu tu nae arudishe hela alizolipiwa matibabu na Kikwete maana ni jasho la wananchi,utakuta tu ana bifu na Jack na weupe wake wa kichina
 
huyo Ray c kavurugwa,kwani Jack alimshika mkono kutumia hayo maunga?si akili zake na ulimbukeni wake uliomtuma
 
"Namshukuru sana baba yangu kikwete,bila yeye kunisaidia sijui ingekuaje"? Badala ya kumshukuru Mungu,naamini ray c anawajua wanaouza madawa akisanue kuliko kumchomea mwenzake,kwani kipindi anabwia alikua ananunua wapi?
 
Aanze kunyongwa yeye kwanza name yeye si mtumiaj mzuri tu halaf anazuga kaacha
 
Back
Top Bottom