Smiling killer
JF-Expert Member
- May 1, 2018
- 1,290
- 1,123
Juzi kati tu alidai anatamani kujiua!!mastaa wa bongo njaa tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mzee genta hbrTangia wale Waarabu wake aliokuwa nao sana Coco Beach Kipindi kile alipokuwa Juu Kimuziki Mmoja wao aliponiambia kuwa walikuwa wakimnanii 0713 ( wakizibua Mtaro wake ) kwa zamu tena mara nyinigine katika Gari lao huku wakimlewesha Mipombe Mikali na kwamba walikuwa wakimuhonga pia Pesa nyingi nilitokea Kumdharau na bado hadi leo hii naendelea Kumdharau japo nikiri wazi kuwa ni Mmoja wa Wanamuziki ambao kama yasingemtokea yale yaliyomtokea Kipindi kile leo hii nina uhakika huyu Dada angekuwa ni Mwanamuziki mkubwa na mwenye Mafanikio sana hapa Tanzania na hata Afrika Mashariki.