Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Lord eyez kamualibu sana
Kuna tetesi kuwa Ray C kwa sasa kawa teja la kutupwa na kwa sasa amelazwa hospitali moja huko mbulu. Dar kawakimbia waandishi wa habari. Tetesi zaidi zikipatikana zitaletwa kwenu wanajamvi. Uteja wake umemfikisha mahala pa kuwa akikutembelea nyumbani kwako, hasa ndugu lazima aondoke (aibe) na chchote hata kama ni ndala, kama ilivyo kawaida ya mateja wengine.....
Mental rehabilitation in process.
Pole zake.