Ray C kalazwa mbulu

Ray C kalazwa mbulu

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Posts
33,643
Reaction score
36,090
Kuna tetesi kuwa Ray C kwa sasa kawa teja la kutupwa na kwa sasa amelazwa hospitali moja huko mbulu. Dar kawakimbia waandishi wa habari. Tetesi zaidi zikipatikana zitaletwa kwenu wanajamvi. Uteja wake umemfikisha mahala pa kuwa akikutembelea nyumbani kwako, hasa ndugu lazima aondoke (aibe) na chchote hata kama ni ndala, kama ilivyo kawaida ya mateja wengine.....
 
Pole yake, mambo ya viuno tena sasa basi?? Mwisho mwampamba ndiye haswaaa alimfundisha kupata dope.
 
Sifa zikizidi....

Ila Mswahili akipata mata hulia Mbwatata...

Pole Zake tumuombee apone leo kwake kesho kwako....
 
siziamini hizi tetesi. Sababu kwa sasa amepunguza kupiga puli kabisa. alikua anapiga wida sababu ya wanaume waliokuwa wakimtenda. Kama kweli kesho tutapata habari kamili. mia
 
Kuna tetesi kuwa Ray C kwa sasa kawa teja la kutupwa na kwa sasa amelazwa hospitali moja huko mbulu. Dar kawakimbia waandishi wa habari. Tetesi zaidi zikipatikana zitaletwa kwenu wanajamvi. Uteja wake umemfikisha mahala pa kuwa akikutembelea nyumbani kwako, hasa ndugu lazima aondoke (aibe) na chchote hata kama ni ndala, kama ilivyo kawaida ya mateja wengine.....

Duh!! .........
 
Hawa ndo maceleb wetu bongo enzi hizo wakiwa kwenye pick na jide it was wonderful! lakini kila binadamu anaishi maisha yake bhana
 
Mtandao wa MSN Africa umeandika habari kama hii!
 
madawa ya kulevya sio ishu...Hivi Mwisho Mwampamba yuko wapi.?
 
Back
Top Bottom