data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Msanii Ray C anatarajia kuingia tena kwa kishindo kwenye muziki na sasa amesharekodi nyimbo 5, nyimbo hizo zitafanyiwa video kisha kuwa released, kwa sasa anasimamiwa na Wanene Ent.
Nonsense,..... huyu jamaa ndo hovyo kabisa, anaonesha anadanganya uma.