Ili kuonyesha maumivu kwenye mausiano kwa mara ya kwanza ray C amefunguka live kwenye mitandao ya kijamii kuwa hataki tena mausiano ya kimapenzi na vijana wadogo a.k.a serengeti boyz
Nadhani ni baada ya kumtumia kisawasawa na kumbwaga msanii huyu
Vijana wanatumia zaidi kuliko wanavyolipa au kutunza sasa rehema kaanza kuonyesha mapenzi kwa wazee zaidi
Vijana tubadilike wameanza kutukimbia tuwatumie kidogo kidogo tunapiga sana mashine.
Habari zaidi juu ya msanii huyu ingia hapa
https://m.youtube.com/watch?v=6NSAjS6ARV0