RAY C: Sitaki tena vijana wadogo

RAY C: Sitaki tena vijana wadogo

kuchangumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
724
Reaction score
290
Ili kuonyesha maumivu kwenye mausiano kwa mara ya kwanza ray C amefunguka live kwenye mitandao ya kijamii kuwa hataki tena mausiano ya kimapenzi na vijana wadogo a.k.a serengeti boyz

Nadhani ni baada ya kumtumia kisawasawa na kumbwaga msanii huyu.

Vijana wanatumia zaidi kuliko wanavyolipa au kutunza sasa rehema kaanza kuonyesha mapenzi kwa wazee zaidi Vijana tubadilike wameanza kutukimbia tuwatumie kidogo kidogo tunapiga sana mashine.
Habari zaidi juu ya msanii huyu ingia hapa https://m.youtube.com/watch?v=6NSAjS6ARV0
 
vijana nao ni stress muda mwingine..
I hope ame weigh the prons and cons ndo maana akasema hivyo
 
Ili kuonyesha maumivu kwenye mausiano kwa mara ya kwanza ray C amefunguka live kwenye mitandao ya kijamii kuwa hataki tena mausiano ya kimapenzi na vijana wadogo a.k.a serengeti boyz
Nadhani ni baada ya kumtumia kisawasawa na kumbwaga msanii huyu
Vijana wanatumia zaidi kuliko wanavyolipa au kutunza sasa rehema kaanza kuonyesha mapenzi kwa wazee zaidi
Vijana tubadilike wameanza kutukimbia tuwatumie kidogo kidogo tunapiga sana mashine.
Habari zaidi juu ya msanii huyu ingia hapa https://m.youtube.com/watch?v=6NSAjS6ARV0
Mkuu mm avatar yako tu
 
vijana malengo yetu ni kutumia tu,we unafikiri nan anaweza kuweka ndan kama mke mtu used kama huyu tena teja! ruge,mwisho mwampamba,lord eyes, na nani na nani sijui ndio wasubirie wakiwa wazee
 
Kweli nimeamini fainal uzeeni??waapi baba jordan aka mzee wa fursa
 
Baada ya kuwa kabati ndio analeta dharau sio...
 
kati ya wote walompitia nafikiri chalii wa chugachuga itakuwa ndo fungakazi...
 
Ndio anaanza maisha sasa, maigizo kwishaaaa!!!!

Keshazeeka, mileage Kubwa kuliko za ndege za atc

Na alianza kutumia ndogo 20 years ago.... She is one hell of a courageous ho to even start classifying her needs

She has gained wait, wrinkles, fat, tattoos, ugliness etc

Ughhrhhh
 
Vijana wamemuacha kwa mataaa, sasa sijui kama wazee ni woaji au atakuwa nyumba ndogo.
 
Huyu binti tulisoma nae o-level,alipoanza kazi EA radio akaanza pozi nw anasema hataki vijana?..jua limeshazama nw
 
Back
Top Bottom