RAY C: Sitaki tena vijana wadogo

RAY C: Sitaki tena vijana wadogo

Kweli huyu hana dili tena.. Kachoka. hata ongeaji yake ka ya teja. Hata kama anatafuta wazee bado atakuwa nyumba ndogo tu..
 
Ameshazeeka na si kijana pia, ana kila sababu ya kutaka wazee wenzake.
 
Keshazeeka, mileage Kubwa kuliko za ndege za atc

Na alianza kutumia ndogo 20 years ago.... She is one hell of a courageous ho to even start classifying her needs

She has gained wait, wrinkles, fat, tattoos, ugliness etc

Ughhrhhh

Good for....
 
uko wapi sasa?aahaaa nishakuona
umevaa shati la zambarau,kanyela mumo
ya bluu,na raizoni nyeupe,kichwani bosholi nyeusi eee!!

Naona naww umevaa gagulo la pink viatu juma na roza na gauni la kaniki rangi ya kaki
 
aje wazee tunamsubiri avute tumbaku kwa maganda ya mahindi makavu lavu yu rey si njoo kwangu bebi
 
Back
Top Bottom