crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Ila Kanumba Alivyofariki Ndipo akapata Umaarufu na Sifa zaidi, ingetokea hata Ray amefariki kabla ya Kanumba basi sifa zote za Kanumba angesifiwa yeye.
Kiufupi watu hawa walikuwa Wanajua na haitakuja kutokea Ushindani Mkubwa kama wa Ray na Kanumba, Kidogo Seba na J Plus walileta Ushindani lakini bado sana.
Ray amepotea BAADA YA KIFO CHA KANUMBA MAANA HANA TENA MSHINDANI. HATA LEO HII ALIKIBA NA HARMONIZE WAKIFA DIAMOND HATASIKIKA KAMA ZAMANI MAANA WASHINDANI WAKE HAWAPO.
(CC: Hopetyga)
Toa maoni yako
mpuuzi sana mwandishi wa makala.
alikiba wakati anatamba na muziki wake below 2010 alikuwa anashindanishwa na mondi?
Wakati diamond anatamba na mziki wake(kabla kiba hajarudi na mwana 2014) alikuwa anashindanishwa na kiba?