Wote magarasha hawana skill zaidi ya ujinga mwingi.Honestly kwangu mie wote hawajui kuigiza...nikikutana na clips zao chache za wanavyoigiza nabaki kushangazwa
Sasa sijui ufundi wao ni ufundi upi unaoonekana
Case closed.Ray ndiye aliyetangulia kuingia kwenye industry lakini Kanumba alitangulia kupata mafanikio. Ray nae akaanza kufanikiwa kwa sababu ya kufanya kazi na Kanumba.
Ray anajua lakini kanumba alikua ni master
Jeseon kwetu mwanafunzi daima huwa bora zaidi kuliko mwalimu ndio maana maarifa yanakuaUna maanisha mwanafunzi anaweza kumzidi mwalimu wake??
Ila haibadili Maana Kuwa kanumba was the Best.Ray ndie alimuibua kanumba hii ipo wazi
Bongo fulevaNdio wakina nani hao kwani mkuu...🤔
Imeibuka sintofahamu baada ya Ray kuongea kwamba anashangaa sana watu kusema kuwa alikuwa anabebwa na Kanumba wakati ukweli ni kwamba yeye ndio alimtoa Kanumba, kiufupi Kanumba amepitia kwenye mikono yake.
Watu wengi wamebisha kauli hizo ila kwa upande wangu Ray yupo sahihi sana, tatizo ni kwamba Vijana wa Instagram wengi ni watoto wa 2005 ni Wabishi hatari, halafu hawajui Historia.
Kwa umri, Ray ni mkubwa kuliko Kanumba, hata ukiangalia Filamu zao utagundua hili. Ray ndio mtu wa kwanza kuingia Kaole na Alikuwa wa Kwanza pia kuonekana kwenye TV.
Kanumba ameenda Kaole akamkuta Ray Tayari ni Fundi. Hivyo Ray akawa mmoja wa Walimu wake. Kanumba amefuzu akawekwa kwenye series ambayo Ray Tayari alikuwa anaigiza na ni Maarufu.
Kilichokuja kutokea ni kwamba Kanumba akawa Na Upepo wake, Kiufupi Kanumba Hakuwahi kumzidi Ray kwa kukubalika, bali kila mmoja alikuwa na Watu wake, kulikuwa na Watu wanamkubali Ray huku wengine wakimkubali Kanumba.
Je Nini maoni Yako???
View attachment 2674852
Kaachwa mbali na mwanafunziLkn ndo alikuwa teacher wa kanumba
Ukweli utamuweka huru.Ray hajui kuigiza aambiwe ukweli
SawaMuigizaji Mahiri
KabisaUkweli utamuweka huru.
Umemalizia na "Je nini maoni yako" kama Malisa GJ [emoji23][emoji23][emoji23]Imeibuka sintofahamu baada ya Ray kuongea kwamba anashangaa sana watu kusema kuwa alikuwa anabebwa na Kanumba wakati ukweli ni kwamba yeye ndio alimtoa Kanumba, kiufupi Kanumba amepitia kwenye mikono yake.