Ray Mancini VS Kim Duk Koo: Pambano lililobadilisha ubondia

Mods mbona siku hizi nikiandika uzi nikiweka picha haziwi pale ninapotaka ziwe? Badala yake zinakuja chini automatically. Kuna kitu nakosea?
 
Kim akiwa kwenye machela

Pambano lilizalisha movie mbili. Ya kwanza ni 'The Good Son' na ya pili 'Boxing Day'

Boxing day ilifocus na maisha ya Refa Richard Green mpaka kujiua.

The Good Son ilimuongelea Ray 'Boom Boom' Mancini na pambano lake na Kim Duk Koo
 
Sweet Science of Boxing.
 
Mchezo hatari ila unafurahisha kutazama. Siku Francis Cheka anapigwa na Dula Mbabe nahisi ingekua Ulaya Cheka ilibidi akapimwe yaani alianguka kabla Dula hajamaliza kurudisha mkono na kuweka guard
Mabondia wa bongo miyeyusho sana.
Usela mwingi, starehe kwa sana ,ulimbukeni ,hawaufanyi mchezo wa boxing kuwa ajira yao rasmi.

Japo wapo wachache kidogo wanajitahidi mfano Ibrahimu Class.
 
Mwaka huu mwishoni au mwanzoni mwa mwaka 2021 kutakuwa na mapambano makali sana.

Mf:1) Ryan Garcia vs Haney,
2)) AJ vs Kublat Pulev
3)Dillian Whyte vs Povetkin
4)Usyka vs Chisora
5)Fury vs Wilder 3
6)A.J vs (Mshindi kati ya Usyka vs Chisora
7)Fury vs (Mshindi kati ya Whye vs Povetkin)
8)Mshindi namba 6 vs mshindi wa namba 7 kwa ajili ya undisputed title.
 
Mwaka huu hii corona imezuia mengi sana.

Mimi natamani AJ na Fury wakutane no matter what
 
Mwaka huu hii corona imezuia mengi sana.

Mimi natamani AJ na Fury wakutane no matter what
Pambano litakuwa zuri sana na litaingiza pesa nyingi sana kutokana na ukubwa wa majina yao japo hapo kuna watu wanauwezo mkubwa sana mfano huyo Usyka ila hana mashabiki wengi.

Vyama vikubwa vya ngumi vinafanya juu chini kuwakutanisha hawa watu wawili, mfano WBC wanataka kumpandisha Fury kutoka WBC super champion kuwa franchise champion na Dillian kupandishwa kutoka Interim champion kuwa super champion ili kukwepa ile mandatory fight baina yao.

Sasa shida inakuja Fury akikutana na AJ hakutakuwa tena na undisputed title coz franchise belt bondia hawezi kuvuliwa kwa kupoteza pambano.
 
Chisora anaenda kupasuka. Personally namuona ni level za wakina Rahman ni overrated.

Ila naona Wilder anatolewa kabisa kwenye equation kama vile hajawahi kuwepo. Ana kazi kubwa kiukweli
 
Chisora anaenda kupasuka. Personally namuona ni level za wakina Rahman ni overrated.

Ila naona Wilder anatolewa kabisa kwenye equation kama vile hajawahi kuwepo. Ana kazi kubwa kiukweli
Yaah, Wilder kwa Fury hatoboi.
 
Chisora anaenda kupasuka. Personally namuona ni level za wakina Rahman ni overrated.

Ila naona Wilder anatolewa kabisa kwenye equation kama vile hajawahi kuwepo. Ana kazi kubwa kiukweli
Unazungumziaje WBC kumpa Fury Franchise Title na Dillian kupandishwa title kuwa WBC super champion?
 
Unazungumziaje WBC kumpa Fury Franchise Title na Dillian kupandishwa title kuwa WBC super champion?
Ingawa bado haijawa official kwa Fury kua franchise champion as anatakiwa amface mandatory challenger ila ikitokea hivyo mimi naona itakua ni namna ya promoter Bob Aram kutengeneza pesa zaidi. As akifanikiwa itakua ni kumruka Dillian na kwenda kwa AJ moja kwa moja.

Dillian ameitaka hii fight mpaka akaifuata mahakamani. Na ingawa haipo confirmed kwamba atakua WBC super champion ila naona hatokubali mpaka akutane na Fury ulingoni.
 
Hili ndio pambano langu la Muda wote...

Hapa Ni highlights
Na hapa Ni full fight

Kama unataka kuona usugu wa watu hapa duniani ingia utazame Hilo pambao. Ingia humo uone Nini maana ya ngumi. Sio mapambano ya watu kukimbiana jukwaana.
 
Sasa kwa mantiki hiyo inamaanisha kwamba kama Fury atampiga tena Wilder na kupandishwa kuwa franchise champion na Dillian kuwa Super champion ,inamaanisha kwamba mechi ya Fury na AJ haitapelekea tumpate Undisputed Champion.

Maana Franchise belt ,ni belt ya heshima tu ,bondia hawezi kupoteza hata akipigwa K.O na mpinzani wake na hata tuseme Dillian na Fury wapigane na Dillian ashinde bado Fury atabaki kuwa Franchise Champion.

Unaonaje hapa?
 
Hahaha kukimbiana pia ni tekniki unajua. Mfano Mayweather kwenye pambano na Pacqiao alisemwa kua amekimbia kimbia lakini Mayweather ni miongoni mwa boxers ambao wana high skills kwenye defence
 
Hahaha kukimbiana pia ni tekniki unajua. Mfano Mayweather kwenye pambano na Pacqiao alisemwa kua amekimbia kimbia lakini Mayweather ni miongoni mwa boxers ambao wana high skills kwenye defence
Mayweather kwangu sio Best Boxer ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…