[CAP 345 R:E. 2002]Law of contract inahusika atuombe ushauri kama huuelewi pa kuanzia ila media ni kiki tuu Kama sio kupandishana na kushushana.
Kiboko yao alikua marehemu kuambiana ..alikua na matusi plus yuko makiniAna matusi sana kwenye movie zake...
Heheheh anapoakti ajulikani akiwa na huzuni furaha kuongea kwa upole au kufoka....Teh Teh...huyu jamaa huwa anapiga makelele tuu kwenye muvi zake..
Heheheh anapoakti ajulikani akiwa na huzuni furaha kuongea kwa upole au kufoka....
ahahaha umeua, ki ukweli huyu jamaa movie zake uozo mtupu, watanzania sijui tupoje , dawa ni kuwasusia mi filamu yao waangalie wenyewe ndio watabadilika haoHongera zao wanaangalia movie za ray...na kuzipenda.....
kumbe movie wameigiza mwaka juzi ndio inatoka leo?? mmh ndio maana movie nyingi hazina uhalisia, zipo out of dateUjinga ujinga tu,wala ubuyu wao hauvutii.
Hahahahaa mie mara ya mwisho kuangalia bongo movie kama sikosei ni 2012 tena ilikuwa bahati mbaya.kumbe movie wameigiza mwaka juzi ndio inatoka leo?? mmh ndio maana movie nyingi hazina uhalisia, zipo out of date
kuna wenye uwezo mdogo mno wa kuchambua mambo yaani wewe unavyoiona divergent yeye ndo anavyoiona hiyo tajiri mfupi.ahahaha umeua, ki ukweli huyu jamaa movie zake uozo mtupu, watanzania sijui tupoje , dawa ni kuwasusia mi filamu yao waangalie wenyewe ndio watabadilika hao
Muwe munanitag jamani, siku hizi nipo busy kiama, nasikia mujini kulikua na msiba sijui wa kaloosh sijui, polen jaman, ila nina mengi ya marehemu ? nina umbea wa marehemu mpaka umenifika hapa, warumi mie jamani huu umbea nitauliwa sasaHahahahaa mie mara ya mwisho kuangalia bongo movie kama sikosei ni 2012 tena ilikuwa bahati mbaya.
BTW,I miss you binamu.
Nani anaangalia bongo mavi siku hiz? bora niangalie taarifa ya habari ya ITVHahahahaa mie mara ya mwisho kuangalia bongo movie kama sikosei ni 2012 tena ilikuwa bahati mbaya.
BTW,I miss you binamu.
mmh kaz anayo, huyo aendelee tu kuuza t*ko mujn movie haziwezkuna wenye uwezo mdogo mno wa kuchambua mambo yaani wewe unavyoiona divergent yeye ndo anavyoiona hiyo tajiri mfupi.
Uwiiiiii binamu nikupate wapi sasa unipe huo umbea jamani?Muwe munanitag jamani, siku hizi nipo busy kiama, nasikia mujini kulikua na msiba sijui wa kaloosh sijui, polen jaman, ila nina mengi ya marehemu ? nina umbea wa marehemu mpaka umenifika hapa, warumi mie jamani huu umbea nitauliwa sasa
Babu wee umbea kazi yetu dhambi kitu gani ? kwani tumeua?? binamu ila naogopa mwenzio kusutwa, ila umbea umenikaa hapaaaaa!!!!, ngoja nimalize shughuli nitakucheki kwa PM, maana warumi mie sinaga kifua kama unavyonijua, kama siri za familia nazitoa sembuse za marehemu nisiyemjua?? wanipishe mieUwiiiiii binamu nikupate wapi sasa unipe huo umbea jamani?
Pls hebu nicheki japo PM tuhamie wasap unipashe vizuri.
Nimeshikwa na hamu kubwa sana ya umbea wa marehemu......
Mhhhhh Mungu atusamehe tu.
Hahahahahaa haya binamu nakusubiri.Babu wee umbea kazi yetu dhambi kitu gani ? kwani tumeua?? binamu ila naogopa mwenzio kusutwa, ila umbea umenikaa hapaaaaa!!!!, ngoja nimalize shughuli nitakucheki kwa PM, maana warumi mie sinaga kifua kama unavyonijua, kama siri za familia nazitoa sembuse za marehemu nisiyemjua?? wanipishe mie