Ray na Batuli wakwaruzana mtandaoni kwa madai ya utapeli

Ray na Batuli wakwaruzana mtandaoni kwa madai ya utapeli

Law of contract inahusika atuombe ushauri kama huuelewi pa kuanzia ila media ni kiki tuu Kama sio kupandishana na kushushana.
[CAP 345 R:E. 2002]
Mkuu,hiyo ni kiki ya kuuzia hiyo movie yao😀😀
 
kumbe movie wameigiza mwaka juzi ndio inatoka leo?? mmh ndio maana movie nyingi hazina uhalisia, zipo out of date
Hahahahaa mie mara ya mwisho kuangalia bongo movie kama sikosei ni 2012 tena ilikuwa bahati mbaya.
BTW,I miss you binamu.
 
ahahaha umeua, ki ukweli huyu jamaa movie zake uozo mtupu, watanzania sijui tupoje , dawa ni kuwasusia mi filamu yao waangalie wenyewe ndio watabadilika hao
kuna wenye uwezo mdogo mno wa kuchambua mambo yaani wewe unavyoiona divergent yeye ndo anavyoiona hiyo tajiri mfupi.
 
Hahahahaa mie mara ya mwisho kuangalia bongo movie kama sikosei ni 2012 tena ilikuwa bahati mbaya.
BTW,I miss you binamu.
Muwe munanitag jamani, siku hizi nipo busy kiama, nasikia mujini kulikua na msiba sijui wa kaloosh sijui, polen jaman, ila nina mengi ya marehemu ? nina umbea wa marehemu mpaka umenifika hapa, warumi mie jamani huu umbea nitauliwa sasa
 
Hahahahaa mie mara ya mwisho kuangalia bongo movie kama sikosei ni 2012 tena ilikuwa bahati mbaya.
BTW,I miss you binamu.
Nani anaangalia bongo mavi siku hiz? bora niangalie taarifa ya habari ya ITV
 
kuna wenye uwezo mdogo mno wa kuchambua mambo yaani wewe unavyoiona divergent yeye ndo anavyoiona hiyo tajiri mfupi.
mmh kaz anayo, huyo aendelee tu kuuza t*ko mujn movie haziwez
 
Muwe munanitag jamani, siku hizi nipo busy kiama, nasikia mujini kulikua na msiba sijui wa kaloosh sijui, polen jaman, ila nina mengi ya marehemu ? nina umbea wa marehemu mpaka umenifika hapa, warumi mie jamani huu umbea nitauliwa sasa
Uwiiiiii binamu nikupate wapi sasa unipe huo umbea jamani?
Pls hebu nicheki japo PM tuhamie wasap unipashe vizuri.
Nimeshikwa na hamu kubwa sana ya umbea wa marehemu......
Mhhhhh Mungu atusamehe tu.
 
Uwiiiiii binamu nikupate wapi sasa unipe huo umbea jamani?
Pls hebu nicheki japo PM tuhamie wasap unipashe vizuri.
Nimeshikwa na hamu kubwa sana ya umbea wa marehemu......
Mhhhhh Mungu atusamehe tu.
Babu wee umbea kazi yetu dhambi kitu gani ? kwani tumeua?? binamu ila naogopa mwenzio kusutwa, ila umbea umenikaa hapaaaaa!!!!, ngoja nimalize shughuli nitakucheki kwa PM, maana warumi mie sinaga kifua kama unavyonijua, kama siri za familia nazitoa sembuse za marehemu nisiyemjua?? wanipishe mie
 
Hahahahahaa haya binamu nakusubiri.
Usizingue sasa maana wewe huaminiki sometimes... Lol
 
Nikikumbuka pwagu na pwaguzi tulikuwa tunawasikia tu ila mbavu zilituuma leo maajabu makubwa watu wanalazimisha kuchekesha na watu wanawaona lakini hawacheki.
 
Tatizo la Bongo Movie ni kutokuwa na mikataba ya uhakika...wao wakikutana tu location na kupigana miti wanaambiana nitakulipa kiasi fulani baada ya muvi kuuzwa na mtu anakubali. Kauli mali hailipi siku zote. Sote twajuwa utamu wa kugegedana na madhara yake ya kutoa majibu ya haraka haraka ili tu gegedo liendelee. Sitoshangaa kama Ray aliongea vingine na Batuli akaelewa vingine, haya yaliyobaki ni mazungumzo baada ya habari. Rudini location mkaendelee kugegedana mmalizane ili ngoma iwe droo.
 
Back
Top Bottom