ha ha bina hela ndo tabu yake hii??
nimejisikia vibaya asee khaaah
ha ha ha ndo mana sitaki mwanangu wala ndugu yangu awe msanii maana maisha yake halisi yanageuka kuwa usanii ptuu hivi jibaba zima kama hili linahangaika ninibina kuchora achire yeye.vibaya ujisikie wewe.......
Eti ndio ucelebrity wenyewe huo bina
ha ha ha ndo mana sitaki mwanangu wala ndugu yangu awe msanii maana maisha yake halisi yanageuka kuwa usanii ptuu hivi jibaba zima kama hili linahangaika nini
sitaki kabisa bina wanapata ubinadamu wa pili tofauti na walozaliwa nao abadan sitaki ntachinja mtu walai.................................USIKU MWEMA KWAKO PIA BINA............mwaaaaaaah!!!!!!!!bina usiku mwema.........kijana wetu awe na kipaji ka
ch daimondo halafu umkataze kuimba,,,,,,no way binamu muache tu
dada ni kweli muulize Heaven on Earth
ha ha anatia aibu