Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
hata mimi nimejiuliza hilo swali kama ni kweli anatafuta nini huyu mtu jameni,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli amepost mwenyewe kwenye instagram
haa haaa basi ukisikia watu walioruka stage ndio hawa. yaani uzee unajongea ye ndio anakumbuka kufanya mabo ya kitoto?
nakumbuka nimeanza kumwona nikiwa darasa la pili hadi leo nipo kazini baada ya chuo kikuu mtu habadiliki ndo maana nikasema bina mtoto wangu usanii marfuku akomae na skuli ikimshinda nampa biasharahalafu huyu leo ni mtu mzima sana......wa siku nyingi jamani enzi zile nakua kua
leo anataka kwend sambamba na kina daimond
nakumbuka nimeanza kumwona nikiwa darasa la pili hadi leo nipo kazini baada ya chuo kikuu mtu habadiliki ndo maana nikasema bina mtoto wangu usanii marfuku akomae na skuli ikimshinda nampa biashara
ngoja niwaite wadau watoe neno jaman eee njooni huku kiwatengu... shansarie.... Lady doctor... Arushaone... mimi49... DEMBA..... Madam B..... watu8..... asakuta same mzee wa 065........ Paloma.... lara 1..... Preta..... gfsonwin...... TUKUTUKU...... william j, malecela....... heaven on desert..... Baba V....... Chocs..... Mamndenyi....... ladyfurahia...... charminglady... farkhina...... Ritz..... faizafox...... Mshume Kiyate.. hawa wa chini kiimani zaidi karibu
haya bina lala salama
hivi kwani hawa wanaojiita wasanii wanakuwa wapotoshaji wakubwa wa maadili ya jamii?kuoa hawataki kazi kubadili tu wanawake, walioa kila siku wanadivorve. nimetoka kusikia clouds tv bob junior eti anajisifia kaachana na mke wake, yaani hadi nimeshangaa, huu usaniii hovyo kabisahalafu huyu leo ni mtu mzima sana......wa siku nyingi jamani enzi zile nakua kua
leo anataka kwend sambamba na kina daimond
m....a..t..a..k...o matupu yani napandwa na jazba kila nikiwaona aseee!!!hivi kwani hawa wanaojiita wasanii wanakuwa wapotoshaji wakubwa wa maadili ya jamii?kuoa hawataki kazi kubadili tu wanawake, walioa kila siku wanadivorve. nimetoka kusikia clouds tv bob junior eti anajisifia kaachana na mke wake, yaani hadi nimeshangaa, huu usaniii hovyo kabisa