ha ha nimjulie wapi miee
trust me my dia i real don't know them
jitu zima ovyoooo
Misifa tu mkuu,hakuna lolote hapo!hakiyamungu ni kuiga au???
Teh teh teh!amekuwa kama kibabu!Aisee sijapenda hata kidogoo!!
Kawa kitu cha ajabu
Mkuu ni vema kuvizoea vituko vya hapa duniani!nimejisikia vibaya asee khaaah
Baadhi ya wasanii,siyo wote mkuu!tatizo wasanii wametangulia mbele na akili zinawafwata kwa nyuma.
Aisee sijapenda hata kidogoo!!
Kawa kitu cha ajabu
Sio halisi ila kuna movie anarekodi ndo anaigiza kwa mwonekano huo.