Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ndo mana sitaki mwanangu wala ndugu yangu awe msanii maana maisha yake halisi yanageuka kuwa usanii ptuu hivi jibaba zima kama hili linahangaika nini
Yawezekana kwasababu hivi vitu vinaliwa kwa kificho..... ila kwa jinsi anavyojiremba napata mashaka....hivi hauzi kisamvu huyu??
ngoja niwaite wadau watoe neno jaman eee njooni huku kiwatengu... shansarie.... Lady doctor... Arushaone... mimi49... DEMBA..... Madam B..... watu8..... asakuta same mzee wa 065........ Paloma.... lara 1..... Preta..... gfsonwin...... TUKUTUKU...... william j, malecela....... heaven on desert..... Baba V....... Chocs..... Mamndenyi....... ladyfurahia...... charminglady... farkhina...... Ritz..... faizafox...... Mshume Kiyate.. hawa wa chini kiimani zaidi karibu
bina we cha tu haya mambo balaaaaaa....