Ray: Siwezi kuhama nyumbani, Mama hapendi

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,397
Reaction score
9,255
Siku chache baada ya Ney wa Mitego kutoa wimbo unaoitwa shika adabu yako na kumponda Msanii Rat kuwa bado anaishi nyumbani, Msanii huyo amesema sio kwamba sina uwezo wa kwenda kupanga ila Mama ana penda nikae nyumbani.
Chanzo: East Africa Fb Page.
 
Tulitegemea Ray atasema sio kwamba Sina Uwezo wa kwenda kukaa kwenye Nyumba yangu nilioijenga lakini anasema sio kama sina uwezo wa kwenda kupanga!
Ray ina maana mpaka ray hujajenga?... magari yote yale mnayoyaendesha?..
Basi kweli Bongo Movie hailipi...
Ndio maana mnakunywa maji ya betri ili kuondoa Stress.
 
"sio kwamba sina uwezo wa kwenda kupanga",ina maana muda wote anafanya kazi hakuwahi hata kujenga jengo design ya police station,bado anakaa kwa mama hahahahaha jamaa sijui kama ni mzima.
 
magari ya kuazima tu kuuzia nyago mjini awana lolote
 
Sawa Mama hataki uondoke si tatizo kuishi unapojisikia ila kwa swaga zako ilikuwa utamu tusikie una nyumba yako iko sehemu ila huamii kwa sababu ya mama yako hataki uondoke lakini si mbaya kama kwa mama uko peke yako,ila kama mupo wengi umefeli.
 
Akioa huyo mke atampeleka kwa mama yake na watoto atapatia hapo hapo kwa mama yake kwa sababu mama yake hataki ahame.

Unaweza kukuta hachangii hata chumvi anakula vya mama,na asipobakishiwa chakula anakuwa mkali,ela yake ananunulia mkorogo.
 
Kwa hiyo Yale mahekalu na walinzi machizichizi tunayoyaonaga kumbe sio wao ila wanakariri ramani ya majumba ya watu hawa mbwa
 
Duh kama ni simple hivyo wengi tusingehama kwetu....
 

Kama ni kweli Ray hana asset ya maana zaidi ya magari basi nitapiga marufuku kuangalia Bongo movies nyumbani kwangu!
 
Mamayake anakazi kubwa ya kununua vipodozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…