Ray: Siwezi kuhama nyumbani, Mama hapendi

Ray: Siwezi kuhama nyumbani, Mama hapendi

Ray kila anachoongea ni uongo kawa mweupe sababu ya kunywa maji kibaoooooo ingawa haijulikani kwa wiki kwa mwez kwa mwaka ni lita ngapi anagida
Leo anaongeza ujingawingine mama hata aondoke mmmmm
 
Akioa huyo mke atampeleka kwa mama yake na watoto atapatia hapo hapo kwa mama yake kwa sababu mama yake hataki ahame.

Unaweza kukuta hachangii hata chumvi anakula vya mama,na asipobakishiwa chakula anakuwa mkali,ela yake ananunulia mkorogo.
toka lini mwari akaoa
 
Ni maisha yake ajenge asijenge akae kwa mama ake hasikae ni maisha yake maana hata akijenge familia yake ndio itakapoishi
 
Ni maisha yake

Hiyo hela ya kupanga bora akanunue kiwanja Yaleyale Puna
 
Naililia tasnia ya Bongo Movie pamoja na wavuja jasho wake. Kwa kawaida ifikapo mida ya saa 1 jioni huwa najisogeza barabarani kupata vipande kadhaa vya pweza na ngisi; sometimes na urojo! Ninapokuta fake DVDs za Bongo Movie zimetawanywa kila pahala kwa bei ya Sh.500/= huku zile za nje zingine ukikuta collection ya movie hata 10 kwa Sh. 2500/= najikuta nabaki na majonzi daima. Pole sana Ray... Nay amesahau tu kwamba hata Bongo Flavor nao wametokea huko huko! GWM walikuwa wakubwa kuliko Benjamin Mkapa lakini ilikuwa ukienda wanakoishi huwezi kuamini! Pamoja na ushenzi wote wa Said Fella sidhani endapo Juma Nature leo hii angekuwa na cha maana cha kuonesha.
 
Akioa huyo mke atampeleka kwa mama yake na watoto atapatia hapo hapo kwa mama yake kwa sababu mama yake hataki ahame.

Unaweza kukuta hachangii hata chumvi anakula vya mama,na asipobakishiwa chakula anakuwa mkali,ela yake ananunulia mkorogo.
Una maneno makali kweli. Nimecheka sana.
 
"sio kwamba sina uwezo wa kwenda kupanga",ina maana muda wote anafanya kazi hakuwahi hata kujenga jengo design ya police station,bado anakaa kwa mama hahahahaha jamaa sijui kama ni mzima.
Pengine mama hapendi
 
Akioa huyo mke atampeleka kwa mama yake na watoto atapatia hapo hapo kwa mama yake kwa sababu mama yake hataki ahame.

Unaweza kukuta hachangii hata chumvi anakula vya mama,na asipobakishiwa chakula anakuwa mkali,ela yake ananunulia mkorogo.
[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom