Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
That's trueNilishasema Wasanii wa bongo movie ni wasanii mpaka kwenye Maisha ya uhalisia.
toka lini mwari akaoaAkioa huyo mke atampeleka kwa mama yake na watoto atapatia hapo hapo kwa mama yake kwa sababu mama yake hataki ahame.
Unaweza kukuta hachangii hata chumvi anakula vya mama,na asipobakishiwa chakula anakuwa mkali,ela yake ananunulia mkorogo.
Duh kama ni simple hivyo wengi tusingehama kwetu....
Duh kama ni simple hivyo wengi tusingehama kwetu....
Kwani wazazi wako hawakutaka uhame kwenu?
Una maneno makali kweli. Nimecheka sana.Akioa huyo mke atampeleka kwa mama yake na watoto atapatia hapo hapo kwa mama yake kwa sababu mama yake hataki ahame.
Unaweza kukuta hachangii hata chumvi anakula vya mama,na asipobakishiwa chakula anakuwa mkali,ela yake ananunulia mkorogo.
hawa kina wema wakipanga nyumba wanapost insta kwamba wamenunuaNilishasema Wasanii wa bongo movie ni wasanii mpaka kwenye Maisha ya uhalisia.
Kuna umri na umriAs long as maisha ni kupanga na kuchagua, maamuzi ni yake na maisha ni yake
Pengine mama hapendi"sio kwamba sina uwezo wa kwenda kupanga",ina maana muda wote anafanya kazi hakuwahi hata kujenga jengo design ya police station,bado anakaa kwa mama hahahahaha jamaa sijui kama ni mzima.
[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akioa huyo mke atampeleka kwa mama yake na watoto atapatia hapo hapo kwa mama yake kwa sababu mama yake hataki ahame.
Unaweza kukuta hachangii hata chumvi anakula vya mama,na asipobakishiwa chakula anakuwa mkali,ela yake ananunulia mkorogo.
Maisha ya kuishi kisanii ni mabaya sana, ujanja ujanja mwingi.hawa kina wema wakipanga nyumba wanapost insta kwamba wamenunua