Ray Vanny kama anapotea njia hvi

Ray Vanny kama anapotea njia hvi

Sku hzi huyu dogo simuelewi elewi..anaimba nyimbo ambazo naona kama anapotea hvi....nyimbo kama huko kwetu, natafuta kiki, mbeleko, unaibiwa, zezeta..zilimfikisha mbali sana..sasa naona anaanza kuparamia hip hop kitu ambacho kitampoteza ....

Dj fetty alikuwa sahihi kumshahuri dogo aimbe badala ya kufoka (hip hop)....kwa sasa naona label ya wasafi inambeba...asipoangalia hammonize atamwacha mbali zaidi wakat kuna kipind kama alimiga gap fulan hv konde boy...now konde yupo onfire..

Namshaur aimbe..saut yake ipo fresh sana..hip hop awaachie akina yong killer

Mziki ni bihashara Mkuu...sometimes unatakiwa kubadilika ili mafans wako wajue na upande wako wa pili....game soon inaweza change to hiphop!
 
Mziki ni bihashara Mkuu...sometimes unatakiwa kubadilika ili mafans wako wajue na upande wako wa pili....game soon inaweza change to hiphop!
Mkuu hip hop kwa bongo hii kweli....Kufanya hip hop bongo ni hobby tu na kutafta hela ya kula....ataendelea kumuona konde boy akipanda juu na multi-kwang'waru za kutosha huku yeye akikomaa na pochi nene
 
Back
Top Bottom