Sku hzi huyu dogo simuelewi elewi..anaimba nyimbo ambazo naona kama anapotea hvi....nyimbo kama huko kwetu, natafuta kiki, mbeleko, unaibiwa, zezeta..zilimfikisha mbali sana..sasa naona anaanza kuparamia hip hop kitu ambacho kitampoteza ....
Dj fetty alikuwa sahihi kumshahuri dogo aimbe badala ya kufoka (hip hop)....kwa sasa naona label ya wasafi inambeba...asipoangalia hammonize atamwacha mbali zaidi wakat kuna kipind kama alimiga gap fulan hv konde boy...now konde yupo onfire..
Namshaur aimbe..saut yake ipo fresh sana..hip hop awaachie akina yong killer